Kama ningekuwa na simu…………………

sweetlady,chuna hiyo jamaa hadi ibaki skin tite! tumedhalilishwa vya kutosha,teh teh
afu mkwe,mbona mwanangu humchuni jamani?

hahahaha! Mkwe mwanao anajichunisha mwenyewe nikianza kumchuna atabaki na boxer tu. Lol.
Wacha aendelee kujichunisha mdogo mdogo.
 
mkwe, umeona eeh? daladala za huku kwetu mabondeni zinaisha saa kumi na mbili. bora aninunulie ka-baby walker. na nikikapata inakuja 'baby,kavitz ukikajaza mafuta full tank unajua ntakuwa free kuzunguka nakuja kuku-kiss gnite ndo naenda home'
baada ya vitz kiwanja baharini .... hadi abaki mfupa!

baby ungenifungulia biashara ningekuwa nakusaidi majukumu,....mara natamani ungenipeleka thailand nikafanye shopping yaani ningezidi kukupenda mpenzi. Lol.
Mkwe hivi hawa wanaume wakati wanachunwa akili zao zinakuwa zimerest in peace au?
 
wee ili umdharau halafu mingine hata haijaacha mboga nyumbani hopeless kabisa pheeew
baby ungenifungulia biashara ningekuwa nakusaidi majukumu,....mara natamani ungenipeleka thailand nikafanye shopping yaani ningezidi kukupenda mpenzi. Lol.
Mkwe hivi hawa wanaume wakati wanachunwa akili zao zinakuwa zimerest in peace au?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom