Kama nimefeli BAM naweza kwenda kozi ninayotaka

Kama nimefeli BAM naweza kwenda kozi ninayotaka

Trevor john

New Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Habari wana JF
Hivi kama umefaulu O-level basic maths kwa D alafu BAM ukapata F ...lakin comb yako una Div 3. Unaweza kwenda course unayotaka na sio uwalimu.
 
Yes uwezekano upo ila kwa hali hii magufuli mhhh sijui
 
Mmmh hutoweza kwa hii competition ya sahivi
 
Back
Top Bottom