Kama nikuchafua hapa CCM wanajiharibia

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,528
2,000
Mikakati ilikua mizito ila wamefanikiwa kutoa Sita. Ulishawah kufikiria nini mipango yao kwa bunge jipia baada ya kumwaga 6? Je uhuru wa kweli Bungeni utakuwepo?

inaelekea wewe badala ya kuabudu facts unaabudu watu. Kama unadhani 6 ni mtu pekee anayefaa kuwa supika mpeleke akawe supika wa nyumba yako.
 

Bigirita

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
15,857
2,000
inaelekea wewe badala ya kuabudu facts unaabudu watu. Kama unadhani 6 ni mtu pekee anayefaa kuwa supika mpeleke akawe supika wa nyumba yako.
taratibu, Orait, what was your point again?
 

ifolako

Member
Nov 8, 2010
98
0
Ni aibu kwa mtanzania wa leo kudhani eti bila fulani hatuwezi kusonga!Hayo yalikuwa mambo ya wazee walee ambao waliamini bila Julius hakuna maishaTanzania.
 

C.K

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
392
250
Picha wapi sasa mbona hueleweki? Hata hujui uko wapii?!!!!!!!!!!!!
 

Mchaga

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,378
1,195
Mikakati ilikua mizito ila wamefanikiwa kutoa Sita. Ulishawah kufikiria nini mipango yao kwa bunge jipia baada ya kumwaga 6? Je uhuru wa kweli Bungeni utakuwepo?

Acha ubabaishaji wewe hapa ni jukwaa la picha
 

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,395
1,500
inaelekea wewe badala ya kuabudu facts unaabudu watu. Kama unadhani 6 ni mtu pekee anayefaa kuwa supika mpeleke akawe supika wa nyumba yako.

punguza jazbaa banaaa!! kama una jazba nyingi kiasi hicho basi humu jamvini hamkufai bana wewe vipi kuwa mvumilivu japo inauma kuwakandia mafisadi ambao wengine ni waajiri wenu eboooo
 

Ras Cutty

Member
Nov 12, 2010
42
95
kwa kweli mie naona mipango yao ya kuktoa six imefanikiwa ila inasemekana wanao mpango wa kumpa uwaziri. sasa kama itakuwa hivyo ina maana wanao mpango wa kukmmaliza kama jinsi walivyomalizwa wao . yoote haii ni mipango ya mafisadi kumchafua mzee wa standard na speed.
 

CYPRIAN MKALI

Senior Member
Nov 12, 2010
176
225
sikwamba bila 6 mambo hayaendi ila kama mtu anafanya vizuri ni bora akaachwa alitumikie taifa lake na si watu kutetea interest zao. ni miongon watu muhim tena kwa kipind hik kigumu cha mabadiliko.
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,958
2,000
Siku hizi JF popote pale unaanzisha mada yeyote. Iwe kwenye picha, mambo ya kikubwa, complaints. popote tu.
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,528
2,000
taratibu, Orait, what was your point again?

ana makinda anaweza, na bado kuna watanzania wengi wanaweza. Napingana na hoja kuwa in the absence of one person(eg.6) bunge halitakuwa na uhuru wa mawazo. Wakati wa 6 mbona alizuia kwa ubabe baadhi ya mawazo?: mf, kuna mbunge alitoa hoja kuwa mwenyekiti wa jmt ya bunge juu ya richmond(mwakyembe) alikiuka kanuni inayomtaka mjumbe wa kmt yyte ku-declare interest dhidi ya matter ambayo kamati ina-probe (mwakyembe ni mmoja wa wamiliki wa kampuni inayotaraji kufua umeme kwa upepo- kwa hiyo ni mshindani ktk sekta ya nishati). Sita alimnyamanzisha mtoa hoja kuwa kanuni haikuvunjwa na akamtaka kwenda mahakamani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom