Kama nikianzisha Chama cha Siasa:

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,379
KAMA NIKIANZISHA Chama Cha Siasa: Nafikiria kuwa na utawala huu;

1.Mwenyekt: Deo Kisandu.
2.Katibu Mkuu: Ben Sanane
3.Mwenezi: Habib Mchange.
4.Mwanasheria wa Chama: Wakili Igenge
5.Mwandishi wa hotuba: Adams Chagulani

Huu ni mfano na sio uhalisia. Je, itapendeza?
 
hahahahaah labda ukishalipa ile trillion 1 na Mengi.
 
sina uhakika kwa thread zako kama utaweza labda katiba ibadilishwe
 
KAMA NIKIANZISHA Chama Cha Siasa: Nafikiria kuwa na utawala huu;

1.Mwenyekt: Deo Kisandu.
2.Katibu Mkuu: Ben Sanane
3.Mwenezi: Habib Mchange.
4.Mwanasheria wa Chama: Wakili Igenge
5.Mwandishi wa hotuba: Adams Chagulani

Huu ni mfano na sio uhalisia. Je, itapendeza?
Historia inakataa wewe kuwa Mwenyekiti kwa kuwa unapenda kulalamikia watu badala ya kutafuta ufumbuzi wa tatizo, sasa ukiwa Mwenyekiti na wasiwasi kila wakati utalalamikia viongozi wenzako badala ya kuwaongoza, labda uwe Mwenyekiti wa vikao tu.
 
MwanaCCM aliyekosa msimamo huyu. Ulidhani kwa kuhamia kwako Umagambani ungetoka kisiasa na kimaisha, kumbe wapi, umepotea mazima.
 
KAMA NIKIANZISHA Chama Cha Siasa: Nafikiria kuwa na utawala huu;

1.Mwenyekt: Deo Kisandu.
2.Katibu Mkuu: Ben Sanane
3.Mwenezi: Habib Mchange.
4.Mwanasheria wa Chama: Wakili Igenge
5.Mwandishi wa hotuba: Adams Chagulani

Huu ni mfano na sio uhalisia. Je, itapendeza?

Matokeo ya uongozi,

Mchange atakupiga, adam changulani atakusaliti, ben saanane atarudi chadema
 
KAMA NIKIANZISHA Chama Cha Siasa: Nafikiria kuwa na utawala huu;

1.Mwenyekt: Deo Kisandu.
2.Katibu Mkuu: Ben Sanane
3.Mwenezi: Habib Mchange.
4.Mwanasheria wa Chama: Wakili Igenge
5.Mwandishi wa hotuba: Adams Chagulani

Huu ni mfano na sio uhalisia. Je, itapendeza?
Ivi kwa nini mkuu tusifungue chuo kwanza cha siasa tuwafunde vijana mimi majengo ninayo kama upo tayari niambie tufanye kazi.
 
Nimetathmini Watu uliowaweka, imenisaidia sana kupata picha ya muunganiko wa nukta kwamba wewe ni nani na hao ni akina nani kwa makusudi gani.

Usiwaze sana! Nina maana kuwa wewe na wao mtakuwa viongozi wa Chama kipya.
 
Hiyo
KAMA NIKIANZISHA Chama Cha Siasa: Nafikiria kuwa na utawala huu;

1.Mwenyekt: Deo Kisandu.
2.Katibu Mkuu: Ben Sanane
3.Mwenezi: Habib Mchange.
4.Mwanasheria wa Chama: Wakili Igenge
5.Mwandishi wa hotuba: Adams Chagulani

Huu ni mfano na sio uhalisia. Je, itapendeza?
Yote ni kutaka kula ruzuku
 
Historia inakataa wewe kuwa Mwenyekiti kwa kuwa unapenda kulalamikia watu badala ya kutafuta ufumbuzi wa tatizo, sasa ukiwa Mwenyekiti na wasiwasi kila wakati utalalamikia viongozi wenzako badala ya kuwaongoza, labda uwe Mwenyekiti wa vikao tu.

TATIZO SIO KULALAMIKA BALI KULALAMIKA NI NJIA YA KUJUA WEWE UNAFIKIRI NINI KWA KILE NACHOLALAMIKA. ILI MIMI NIPATE MUAFAKA KWA LALAMIKO LANGU.
 
Back
Top Bottom