kama ni ww ungefanyaje???

kama ni ww ungefanyaje???

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuamisha tofali 1000! jamaa akajitahidi akabeba tofali 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafiki yake wamesoma wote akampigia simu! jamaa: mkuu vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha tofali 1000! Mkuu: hao wajinga kweli hawajui tunavyofamiana! wasikusumbue! mi ndo mkuu wao.Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo; halafu uje ofisini tuonane!
 
MUNGU wng hyo mkuu alitaka kumpa adhabu nyngne kmya kmya! umeona eeehh but hujajib mkuu ingekuwa ww ungefanya nn?
 
2]undugu n kufaana! lkn hakua ndugu yake mkuu?
 
jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuamisha tofali 1000! jamaa akajitahidi akabeba tofali 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafiki yake wamesoma wote akampigia simu! jamaa: mkuu vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha tofali 1000! Mkuu: hao wajinga kweli hawajui tunavyofamiana! wasikusumbue! mi ndo mkuu wao.Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo; halafu uje ofisini tuonane!

Hahaha funy
 
mie nisingebeba tena tofali zile ;ila ningekwenda kumwona ofisini kumshukuru.
 
jamaa alipita sehemu isiyoruhusiwa katika kambi ya jeshi na akapewa adhabu ya kuamisha tofali 1000! jamaa akajitahidi akabeba tofali 900 na akawa hoi!Na ghafla akakumbuka kuwa mkuu wa kambi ni rafiki yake wamesoma wote akampigia simu! jamaa: mkuu vijana wako wamenipa adhabu ya kuhamisha tofali 1000! Mkuu: hao wajinga kweli hawajui tunavyofamiana! wasikusumbue! mi ndo mkuu wao.Zirudishe palepale zilipokuwa mwanzo; halafu uje ofisini tuonane!

Aaaah hapo mm ningejifanya Bp ipo juu!
 
Ningemwambia acha tu nmalizie ila uwaonye vijana wako wacrudie kwan mimi na wwe 2metoka mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom