fundiaminy
JF-Expert Member
- Jun 4, 2009
- 354
- 52
Lakini inatokea mkuu!Mmh! nadhani ni nyongeza c habari ya kweli inaonekana ya kubuni zaidi lkn mm!
</p>Mmh! nadhani ni nyongeza c habari ya kweli inaonekana ya kubuni zaidi lkn mm!
Dah!nitafanya kama cjasikia nachukua CV zangu nachapa lapa ila nikirudi nampakia faster tunachoma angaza .Mzee saidi kasindikizwa na mkewe hadi kituo cha basi kuwahi safari.mkewe aliporudi home saidi alikumbuka amesahau CV yake ikabidi airudie.kufika nyumbani kampata mkewe anaosha vyombo na kutaka kumsapraizi akamfumba macho kwa kutoka kwa nyuma..mkewe akajibu aaaah! We shabani,hata hungoji mzee saidi akafika mbali tukaanza mambo yetu..usiku wote ni wetu mpaka atakaporudi mzee saidi kesho kutwa.