Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 133
Jibu unalo!Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Embu tafuta nyimbo ya FM Academia inayoitwa kazimungara na uisikize au kuitizama itakupa jibu la swali lako!!Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Inawezekana kweli kakupenda, but posibility kubwa huyo ni nungayembe (aliyeshindikana na kukosa soko aliko), na/au gold digger...
Anyway, hebu jaribu kumtafuta, japo inaweza kuwa siku mkionana itakuwa mwisho wa mawasiliano, na vocha hutapata tena...
mhhhhhhhhhh
unanikumbusha kipindi cha mama na mwana zamani radio tanzania lol