Kama ni wewe utafanyaje?

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
 
mhhhhhhhhhh

unanikumbusha kipindi cha mama na mwana zamani radio tanzania lol
 
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Jibu unalo!
 
Inawezekana kweli kakupenda, but posibility kubwa huyo ni nungayembe (aliyeshindikana na kukosa soko aliko), na/au gold digger...

Anyway, hebu jaribu kumtafuta, japo inaweza kuwa siku mkionana itakuwa mwisho wa mawasiliano, na vocha hutapata tena...
 
hebu jiulize maswali yafuatayo. Je unamjua huyu binti kiasi gan hadi ukakiri unampenda? How can u say unampenda ili hali mnajuana kwenye phne2 na hamjakutana physical?.hebu jitahd kumjua vizur kwanza ndo ufanye maamuzi bt at the end listen 2ur heart neno langu sio sheria.
 
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :
Embu tafuta nyimbo ya FM Academia inayoitwa kazimungara na uisikize au kuitizama itakupa jibu la swali lako!!
 
fanya juu chini uonane nae kwanza ndio utapima upendo ikiwa mambo yataendelea ka mlivo sasa
 
Sidhani kama unampenda, nadhani unapenda relation yako na yeye. hata akifa leo ukipata mngine wa kuwasiliana nae hivo utampenda pia, so that is not love. Ila mnaweza kuendelea hivo na mkatokea kupendana kweli for who you really are, sio what you do or what you have
 
Wewe mtoto, umekurukupuka Facebook umekuja humu kufanya nini. Nenda kashii ukalale!
 
Ww unasema kabint as if ni mdogo, umejuaje il hal hujawah kumwona! Acha ujinga kula kitab kwanza
 
Nyie ndio mnakesha kuchat kwenye simu na shuleni mnasinzia,hujawahi kumuona hamna mapenzi hapo nyie ni chatmates tu, ukisikia sauti ya Wema kwenye simu si unaweza kuapa ana 16yrs kumbe ni 'been there done that',muhimu kutaneni kwanza.
 
hii thread waichange na ile ingine ya huyuhuyu member, hili hili swali.
 
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia hata vocha na kunisihi nisome kwa bidii huku akini sms kuwa nisimsahau maisha jaman naomaen ushauri, huyu she ananipenda kweli...? :

anakupenda, kaoe lol
 
Inawezekana kweli kakupenda, but posibility kubwa huyo ni nungayembe (aliyeshindikana na kukosa soko aliko), na/au gold digger...

Anyway, hebu jaribu kumtafuta, japo inaweza kuwa siku mkionana itakuwa mwisho wa mawasiliano, na vocha hutapata tena...

Nadhan wanaume weng huwa 2nafkiria hv endapo mwanamk amby anatafuta Mchumb either mtandaon au ghafl kweny CM mnaongea akaonyesha anakupenda.. ni Bora kumtafuta Ndug yang inaweza ikala kwako! Na kama ukikutananae either atakuwa hvi.
1. Mnene sana hana mvuto
2. Anasura isiyovutia
3. Au anakasoro

Kumbuka hili! Wanawak weny Sauti nzuri sana weng wao, ci wazuri.
 
mmh mlipatanaje? Namaanisha mawasiliano? Au ndo mmoja kati yenu alikosea? Wacwac wangu inawezekana hako kabinti kanakufahamu vizuri, au ulitoa tangazo kwenye gazeti?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom