germve
Senior Member
- Jul 22, 2017
- 126
- 132
Mapenzi yako kwake yalianzia kwenye daladala baada ya kuvutiwa na urembo wake. Namba ya simu uliyoichukua ndiyo iliyowafanya leo hii mtimize mwaka mmoja ndani ya mahusiano yenye mapenzi motomoto.
Ndugu na rafiki zako wote wamemkubali kwa umbo na tabia! Na sasa umeamua kuoa.
Juzi mkiwa na mkeo kwenye harusi mliyoenda kuhudhuria pale Sinza, Mwika Hall unakutana na jamaa zako mliopotezana kitambo! Mmoja anamtazama mkeo kwa bashasha kama vile anamjua lakini mkeo hamtazami usoni. Ni kama vile anakwepesha macho yake.
Baadaye mshkaji mmoja wapo anakuvuta pembeni kisha anakuminya na kunong'ona..."Naona uko na mtoto! Ee bhana we mbaya?? Umeamua kuja naye kabisa harusini?"
Kabla ya kumjibu lolote unageuka na kugundua mmoja wa hao rafiki zako amebaki kwenye kiti anaongea na mke wako kwa namna ya watu wanaofahamiana kitambo.
Yanakushinda unaamua kuuliza, vipi kwani mbona siwaelewi? Mnamjua yule?
Kaka tusimjue yule? Nani asiyemjua yule sinza hii!? Mtoto mzuri kama yule.... Sema hawa mademu sijui wanakuwaje, mtoto mkali kama yule anajiuza!
"Anajiuza!?"
" Kwani hujui? We hujamtoa pale kona baa huyu? Si ndo viwanja vyake? Sema uzuri wake huyu demu ni mstaarabu tofauti na machangu wengine! Piga mzigo huo bro......
Unahisi giza usoni, na magoti yanaishiwa nguvu!
Tufanye imekukuta wewe.....imeshathibitika mkeo alikuwa changudoa utafanyaje hapo?
germve himself