Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,388
Hata kwenye functions kama nyama choma kwingine huwa vyoo havizidi kumi.anayewatetea hawa ni punguani kama wao.
Kama unaongelea zile nyama choma festivals za pale viwanja vya posta basi ujue watu wanakoja nje kwenye majani na mazingira yana haribiwa sana. Kifupi ukiweka vyoo vichache unawapa watu nafasi ya kuamua wenyewe wapi wa kojoe, na iwapo wataamua wewe mwenye shughuli ndio punguani sio wao. Na huyu anayemtetea mtu asiyeweka vyoo kwa kuzingatia idadi ya watu ndio punguani mkubwa.