kama ni wewe uone aibu

kama ni wewe uone aibu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Bf2REt8IYAArHLO.jpg:large
hawa walikuwa wanakojoa kwenye masink ya uwanja wa taifa hiki ni kitendo cha aibu sana shame upon you
 
Kuna baadhi ya watu ni maafa na ni hatari kuwa nao katika jamii iliyostaarabika kama hawa.
 
Suala hili linatakiwa liangaliwe kwa marefu na mapana yake si kulaumu tu,kuna sababu ya hawa watu kufikia hatua hiyo,yafaa tuanzie hapo kwenye chanzo na si matokeo.
Inaonekana dhahiri kuwa kuna mapungufu makubwa sana ya usimamizi wa viwanja vyetu.
 
Ni post pumba of the day... There no way uzembe wa mtu mmoja au wengine, ndiyo iwe justfication kufanya ujinga..... KWA HIYO KAMA NYUMBANI KWENU BABA YAKO HAJAJENGA CHOO, AU CHOO HAKIJAISHA UNAKWENDA KUNYA SEBULENI..??

Ukiangalia vizuri hiyo picha utagundua walikua wanakojoa chini na sio kwenye sinki, we zingatia sinki liko juu kuliko zipper zao ss watakojoaje si wangejimwagia?
Imagination yako haikipo vizuri
 
Na wewe unayepiga picha watu wakiwa kwenye faragha uone aibu, unhekuwa mstaarabu ungetumia muda huo wa kuwapiga picha kwa kuwaelekeza mahala sahihi pa kutolea haja zao. Huu uliofanya ni udhalilishaji kwa maoni yangu ni kosa kubwa kuliko kukojolea sinki.
 
Mwingine huyu.....Jamani KWA nini LEO MMEAMUA KUFUKA MOSHI WA KUNI MBICHI..??? Anyway, your signature tells all

Na wewe unayepiga picha watu wakiwa kwenye faragha uone aibu, unhekuwa mstaarabu ungetumia muda huo wa kuwapiga picha kwa kuwaelekeza mahala sahihi pa kutolea haja zao. Huu uliofanya ni udhalilishaji kwa maoni yangu ni kosa kubwa kuliko kukojolea sinki.
hizo ni picha za cctv acheni kutetea ujinga
 
:israel:chademaq waqko wapi maana hata katika hili watawatetea tu
 
hizo ni picha za cctv acheni kutetea ujinga

Ujinga ni kuweka CCTV chooni badala ya kuweka sinki za kukojolea za kutosha. Uwanja unaoingiza watu elfu siti huwezi kuweka sinki za kukojolea nane tu.
 
...
Inaonekana dhahiri kuwa kuna mapungufu makubwa sana ya usimamizi wa viwanja vyetu.
Ha Joseph!!ukosawa kweli wewe!!!unataka wasimamizi wakawasimamie watu wakojoe wapi!!makwao wanakojoa kwenye masinki!!acha basi kutetea ujinga wa makusudi!!
 
Last edited by a moderator:
Ujinga ni kuweka CCTV chooni badala ya kuweka sinki za kukojolea za kutosha. Uwanja unaoingiza watu elfu siti huwezi kuweka sinki za kukojolea nane tu.
Sinki nane..?? Huo uwanja unaujuwa aua umesimuliwa..???

Ujinga ni kuweka CCTV chooni badala ya kuweka sinki za kukojolea za kutosha. Uwanja unaoingiza watu elfu siti huwezi kuweka sinki za kukojolea nane tu.
we nyumbani kwako una idadi ya vyo sawa na idadi ya watu waliopo!!na kukiwa na function ukawa na wageni hukojoa kojoa ovyo namna hiyo kisa huna vyoo vya kutosha!!acha kutetea upuuzi huu!!
 
Dawa ni kuwa-expose ktk jamii ni akina nani na wanafanya kazi wapi ili iwe fundisho kwao. Watu hawa ni wa hatari sana ktk jamii kwani watoto waweza kwenda hapo kunywa maji na wakapata magonjwa mabli mbali.
 
we nyumbani kwako una idadi ya vyo sawa na idadi ya watu waliopo!!na kukiwa na function ukawa na wageni hukojoa kojoa ovyo namna hiyo kisa huna vyoo vya kutosha!!acha kutetea upuuzi huu!!

Nyumbani kwangu kuna vyoo vitatu, hii kwa mujibu wa shirika la afya duniani inaweza ku accomodate watu zaidi ya 72, kwa hiyo jibu la swali lako ni NDIO. Pia nikifanya function ya watu mia 300 nyumbani kwangu bila kuweka utaratibu hata wa kukodi mobile toilets sintoshangaa wageni wangu wakikojoa hovyo.
Lakini pia uwanjani licha ya kuwa na masinki machache pia mjenzi hakuzingatia kuwa utumiaji ni tofauti kwani matumizi ni makubwa mno dakika zile kumi za mapumziko hivyo uhitaji ni mkubwa sana na muda ni mchache tu.

ND
 
Hata kwenye functions kama nyama choma kwingine huwa vyoo havizidi kumi.anayewatetea hawa ni punguani kama wao.
 
Back
Top Bottom