Kama ni wewe ungelifanyaje hapo?

lakini hapo gari si inaweza ikatembelea rim!
hawana sababu ya kustop.
 
Nikupiga gear bila kuangalia ntaharibu rim za gari mpaka ntakapopata msaada, la sivyo unaweza kugeuka mlo wa mchana
 
Ni kumwita Kinana tu hapo au hawamhusu!?
 
hapo nashuka tu na kupiga jeki maana hao ni simba wa kibisa tu,simba mwenyewe hata gari hasogelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…