Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 614
Assume kuwa imekukuta then Sema ungefanyajeMmmh hii kali..ikinikuta ndio nitajua cha kufanya
Sio mbaya kutumia akili yako kufikiliaWahenga mnatushughulisha sana jamani!
Post sent using JamiiForums mobile app
Ningeacha kuassumeAssume kuwa imekukuta then Sema ungefanyaje
HongeraNingeacha kuwaza mifano ya kijinga
OKNingeacha kuassume
Ngumu kumeza au kutemaMfano jamaa mmoja alienda umkweni akafika wakachinjia mbuzi wakala ikafika mida ya usiku kwenda kulala mama mkwe akampa sehemu yakwenda kulala ambapo kuna vitanda viwili akaambiwa hivi usitoke usiku huku kuna simba wakali maana choo kiko msituni jamaa akaingia kulala pembeni tena kuliku na mtoto amelala jamaa akabanwa mkojo akaenda kumtoa mtoto alipo lala akamhamishia kwake akakojoa pale kwenye kitanda ile tu anpoenda kumhamisha akakuta kanya kwenye kitanda chake usicheke kama niwewe ungefuanya je?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngumu kumeza au kutema
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ningeacha kuwaza mifano ya kijinga
[emoji120] [emoji120] [emoji1431] [emoji1431] mzima dada ake[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mi Mzima kabisa mdogo wangu.[emoji120] [emoji120] [emoji1431] [emoji1431] mzima dada ake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzigo bado ungetoa harufu mkuuHahaha,ningegeuza godoro,juu chini
Post sent using JamiiForums mobile app
Me nipo humu humu ndani tu dada anguMi Mzima kabisa mdogo wangu.
Unajifichaga wapi weyee mdogo?