Nitakupa mfano mmoja;Mh!!!....sijui kwanini naonaga Manesi ni heartless!!!
Mkuu nimekuelewa!!!Nitakupa mfano mmoja;
Tulifundishwa types za leadership, tukaambiwa zipo tano.
1. Democratic
2. Dictatorship
3. Laiser fair
4. Country club
5. Democratic - Dictatorship (Hii ndo the best type of leadership).
Wangekuwa ni viongozi, kwa kazi wanayofanya manesi naamini category namba 5 itawafaa zaidi.
Kuna cases inabidi atumie demokrasia, na pengine awe dikteta. Manesi watakuwa wamenieelewa!
Teh! Ila hiyo picha tunawaonea.
Ha ha ha!Mkuu nimekuelewa!!!
Offtopic: hebu elezea kidogo namba 3 na 4[emoji12]
Mkuu nimekuelewa!!!
Offtopic: hebu elezea kidogo namba 3 na 4[emoji12]
Hyo namba 3 ni when you let things take care of themselvesHa ha ha!
Nishasahau;
Hiyo no. 3 inaandikwa Kifaransa sijui, Laissez-Fare.
Ila hiyo no. 4 inapatikana nchi za Scandinavia huko.