hapo kwenye red mbona unambembeleza!???usimwombe na wewe toa tamkokutokana na hali halisi inavyokewnda hapa nchini tanzania, kila kitu kimevurugika, wizi kila sehemu, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa huduma muhimu kama umeme, maji, hospitali zenye madawa na wahudumu wanaojua nini maana ya kazi zao, ukosefu wa ujasiri ili kuleta heshima nchi, matatizo kibao ya migodini, mbuga za wanyama, haya ni baadhi ya mambo ambayo ningemuona jk ni mzalendo kama angejiuzuku na kuacha watu wenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu waendelee, black house i/o w/hse??? kule si maahala pa kujivunia na kupenda sifa, ni sehemu ya kazi tu na mzigo sana kwa waelevu! alipotufikisha panatosha nan ili mambo yasizidi kuwa mabaya please may u quit!?
haya mambo mnaweza kuyaona katika upeo wa harakaharaka kama ni mchezo ila asc a time goes on, mambo yatakuwa mabaya sana kama hatutapata mtu wa kusema hapana na akamaanisha hapana!
nawasilisha!
Mawazo mgando na Akili finyu @Nishjk ni rais aliekomaa kisiasa ila anakwazwa na mfumo kristo!!!!!!!!!!!!!
<br />Mawazo mgando na Akili finyu @Nish
umeshiba futari sasa unajifaragua ndani ya jf!jk ni rais aliekomaa kisiasa ila anakwazwa na mfumo kristo!!!!!!!!!!!!!
<br />umeshiba futari sasa unajifaragua ndani ya jf!
mfumo Kristo ndo unamtuma yeye, salma, rizi1 na maswahiba wake kutuibia? ndo unaomfanya ahamie nchi za wenzetu akiombaomba? ndo unamfanya boya wa kutokufanya maamuzi? naomba mwongozojk ni rais aliekomaa kisiasa ila anakwazwa na mfumo kristo!!!!!!!!!!!!!
<br />Naunga mkono hoja, lakini thubutu nani ajiuzulu sababu kwanza hajui kama anaboronga
<br />mfumo Kristo ndo unamtuma yeye, salma, rizi1 na maswahiba wake kutuibia? ndo unaomfanya ahamie nchi za wenzetu akiombaomba? ndo unamfanya boya wa kutokufanya maamuzi? naomba mwongozo
wewe unaongelea kikwete gani? kama ni huyu ninaye mfahamu unapoteza muda