Kama ni ukomavu wa kisiasa na uzalendo JK atauonesha ni kujiuzulu kiti chake

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
kutokana na hali halisi inavyokewnda hapa nchini tanzania, kila kitu kimevurugika, wizi kila sehemu, ufisadi wa kutisha, ukosefu wa huduma muhimu kama umeme, maji, hospitali zenye madawa na wahudumu wanaojua nini maana ya kazi zao, ukosefu wa ujasiri ili kuleta heshima nchi, matatizo kibao ya migodini, mbuga za wanyama, haya ni baadhi ya mambo ambayo ningemuona jk ni mzalendo kama angejiuzuku na kuacha watu wenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu waendelee, black house i/o w/hse??? kule si maahala pa kujivunia na kupenda sifa, ni sehemu ya kazi tu na mzigo sana kwa waelevu! alipotufikisha panatosha nan ili mambo yasizidi kuwa mabaya please may u quit!?

haya mambo mnaweza kuyaona katika upeo wa harakaharaka kama ni mchezo ila asc a time goes on, mambo yatakuwa mabaya sana kama hatutapata mtu wa kusema hapana na akamaanisha hapana!

nawasilisha!
 
Naunga mkono hoja, lakini thubutu nani ajiuzulu sababu kwanza hajui kama anaboronga
 
hapo kwenye red mbona unambembeleza!???usimwombe na wewe toa tamko
 
Bila kunji JK hawezi kuondoka madarakani kamwe make ikulu pamekuwa patamu mno mpaka anajiramba na mikono,sasa mtu kama huyo tumwombe kuondoka itawezekana kweli?hapa ni kum-Tunis tu.
 
jk ni rais aliekomaa kisiasa ila anakwazwa na mfumo kristo!!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo kubwa black house hawaambiani ukweli. Mzigo huu ni mzito waachie watakaoweza. Vinginevyo yeye kila kitu kwake ni poa tu mpaka sasa. Naunga mkoono
 
jk ni rais aliekomaa kisiasa ila anakwazwa na mfumo kristo!!!!!!!!!!!!!
mfumo Kristo ndo unamtuma yeye, salma, rizi1 na maswahiba wake kutuibia? ndo unaomfanya ahamie nchi za wenzetu akiombaomba? ndo unamfanya boya wa kutokufanya maamuzi? naomba mwongozo
 
<br />
<br />
ufisadi unaouona leo ni matunda ya fisadi mkapa ambae alikuwa mfumo ndio maana hamkuhoji kipindi kile na watelekezaji wa kikwete wote ni mfumo ndo wanaomkwaza zaidi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom