KAMA NI MAPENZi, KWA MWANAUME TU HUGHARAMIA

KAMA NI MAPENZi, KWA MWANAUME TU HUGHARAMIA

n hoja ya msingi..sema mnashindwa kumuelewa.
swala sio kavamia na na kuwa eti labdaa hajiwezi hivi thaman ya utu wa msichana na ruhusa ya kufanya tendo la ndoa katk njia zote lipo katika kupewa na kuhongwa vitu na kugharamia kama mnavyoitwa..
chips,outing,kulipiwa ada kodi..na kupewa ufunguo na mengine mengi n halisi kukufanya uridhiee..
m naona n zaid ya hili na zaidi nyie ndo mnaskia raha zaidi kwanza mmezidi mizinga nackujifanyackuita baby wakt tumejuana dk tatu..
 
Wadada waache MIZINGA. Wao pia ni wafaidikaji kwa mapenzi. Wasiwaumize vidume ki vile huku wakijifanya wanamapenzi ya dhati. Vidume vingine vinabidi kuwa vibaka ili kupata hela ya kuhonga. Hicho si kipaji

Hiyo ni ndoto......!!!!!!!
 
n hoja ya msingi..sema mnashindwa kumuelewa.
swala sio kavamia na na kuwa eti labdaa hajiwezi hivi thaman ya utu wa msichana na ruhusa ya kufanya tendo la ndoa katk njia zote lipo katika kupewa na kuhongwa vitu na kugharamia kama mnavyoitwa..
chips,outing,kulipiwa ada kodi..na kupewa ufunguo na mengine mengi n halisi kukufanya uridhiee..
m naona n zaid ya hili na zaidi nyie ndo mnaskia raha zaidi kwanza mmezidi mizinga nackujifanyackuita baby wakt tumejuana dk tatu..
Asante kwa kunielewa, ni katika kujaribu kurekebisha walau kiasi fulani hv vijitabia vya mpaka kusababisha wengine kupora ili kupata hela ya kuhonga
 
Asante kwa kunielewa, ni katika kujaribu kurekebisha walau kiasi fulani hv vijitabia vya mpaka kusababisha wengine kupora ili kupata hela ya kuhonga

bwanaee..na wazeee kutupigia kwa hela zao za project..
 
Asante kwa kunielewa, ni katika kujaribu kurekebisha walau kiasi fulani hv vijitabia vya mpaka kusababisha wengine kupora ili kupata hela ya kuhonga

sasa we unadhani Mungu kukufanya kichwa alikosea au? ndo majukumu hayo baba fanya uwezalo ili beb wako aridhike we unadhani utauridhisha moyo wake pasipo yeye kuridhia? hata akikwambia tulale kempisky daily utaenda nakuapia, chezea ile kitu wewe....lol
 
ila kiukweli, tabia hiyo sio nzuri hata kidogo,hasa kwa mtu ambaye si mke wako, maana huu ni u-kupe kwanini akuachie wewe tu? ni muhimu kusaidiana, kama ukimsaidia kodi basi angalao na yeye akufanyie shopping ya cadet mbili tatu, na vipodozi ajinnulie yaan wewe unaangalia kile kinachomkwamisha kwa haraka ndo unamng'atua, sasa best fikiria bwana maana wote macho mawili mnayo, mikono na miguu hali kadhalika viungo vingine, kwann yeye akupe mzigo wote huo? halaf leo na kesho mshaachana, aaagh mi naichukia sana hii tabia, kuna brother wangu mmoja hadi ananikopa eti mahela kibaao eti wifi yako, nyoooh nikamwambia kama hela ndo kiini cha mapenzi yenu basi na muachane!!! wanawake acheni hizo bhana kwann tunapenda dezodezo??? tusaidiane kama tunavyopendana hayo ndo mapenzi ya dhati na ya kweli hayo ya vitu ni unafiki mtupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom