Kama ni kweli nasi huu utakuwa ni uthibitisho

mahutu

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
766
556
Habari zenu wapendwa wapendwa....natumaini mkopoa nyote na poleni kwanza na mihangaiko ya hali hii tuionayo ya maisha ya kila siku..
Kila mtu anajua maisha yanavo muendea hivo huwezi sema moja kwa moja maana kila mtu ana kamba yake wengine ndefu, wengine fupi ila bado tunasonga..kama tittle inavosomeka.. kama kweli maisha ni magumu uthibitisho wake utakua dec 25 na jan 1..kama hizi siku watu hawatasherekea basi ntaamini maisha ni magumu na sitarajii kuona watu wakifanya kufuru za anasa kama zamani maana kila siku watu wanasema afadhar ya jana..
 
Hata wachagga Mwaka huu hawarudi Moshi naskia wamefungua magroup ya whatsapp kwa ajili ya kukutana(kuhesabiwa)
 
Back
Top Bottom