Kama ni kweli basi ndugu zangu ntakufa kishujaa sana ingawa nawaza sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Hapa mtaani kuna dada mmoja wa kidosi anasumbua sana huyu dada ni mzuri ameolewa na jamaa mmoja mtu mzima mambo safi sana.

Kitaa masela wote wanamkubali sana si kitoto na jambo zuri hana majidai kila mtu huwa anamtumia huyu dada kuchezea pool jamaa kibao huwa hawaoni soo kunyetisha hivyo kuwa at least wao wanamla kwa kupigia pool.

Mimi nipo mtaani nafahamiana naye sababu pia ofisi zetu town zipo karibu anajua nampenda nami huwa namwambia hilo basi mumewe amekuwa akimtenda vibaya sana jamaa hata hajali kuwa ana mke waya mbaya.

Juzi juzi hapa demu nilimla katika mazingira ya kutatanisha sana miaka karibia mitatu nafukuzia na kula kwa macho nikamla parking jioni alikuwa na stress kinoma kashamfumania sana jamaa yake ambaye hajali.

Tukawa tunapiga stories ananisimulia katika kufarijiana nilimla kavu ali mind sana kwa hicho kitendo kama siku mbili hivi akawa hataki hata twonane.mwishowe akanambia amenisamehe ila nisimchukulie poa.

Basi nikatonya washkaji kuwa yule demu mgumu wa kidosi nimekula hawakuamini masela wakaona kama nawauzia chai daaah nikashawishika kufanya jambo la kipuuzi kuwaonesha texts zetu na demu jamaa walinipa kongole kinoma kuwa nimekula tena live.

Jamaa mmoja ndo akauliza "bob ulivaa kiatu au ulicheza pekururu?" nili stuck kidogo but nikatabasamu kuwa ingekuwa kosa la jinai kula mtoto kama yule kwenye ganda ndo jamaa kusema yule mume wa yule dada ameshakula wasanii kibao na wawili wamesha kick the bucket.mmoja alikuwa mnenguaji matata sana huko nyuma.

Mwingine alikuwa video queen na mwigizaji.hapo nkashtuka na yule mzee inasemekana mwingi sana hasa sababu ana mavumba anawapanga sana madada.

Nimeanza kukosa amani maana yule dada nilimla pekururu tena kwa kutaka sifa nilipalaza kinoma mle ndani sielewi na hata nimeanza kupoteza hamu ya kula kwa mawazo jamaa wanasema ni kweli atakuwa na ngwengwe maana mumewe yupo connected.

Nawaza kama ntakufa daaahh Ingawa nitakufa kishujaa kwa masela maana wananipa respect sana kitaa baada ya kula demu mkali wa kidosi.
 
Chai imekolezwa ikatiwa na tangawizi kwa mbaali. ALMOST believable

Sema kama this story is true. Either washkaji wanakuzingua ili upate presha au wanasema ukweli. Ila kwanini ukae ukiwaza what ifs, nenda hospital kapime. Ungewahi probably ungeanza hata na prep
 
Duhhh Mwamba pole sana ......

Kuna mawili
Demu Hana ngoma ila kitendo cha ww kutumia Majonzi yake kumtombaa kilimuuma ndio maana akaamua kukaa kimya kujutia iko kitu.

Demu anangoma, ndomaana alikasirika kwa hasira za kuumia kwann Umemla bila ndomu so hapo tena alitaman hata Msionge tena wala usimuone tena sema akawazaaa weee akagundua atakuacha ktk mawazo mengi .

Chakufanya , Talk to her usikae nalo moyoni bure, muulize kwa gia ya mgongo wa mumewe.

Like..."Rose kwann hukuniambia kua Mumeo Anatumia ARVs? "............

Alafu utamsikilizia kwa makin majibu yake .
 
Uko vizuri na mjadala tuufunge..
 
ni ngumu kumwambia mumewe ana ngwengwe nawaza kuwa maybe baada ya miezi 3 nikapime nione nitakuaje. demu ni mzuri sana kiasi sitaki kabisa kumuudhi kwa kumuuliza kuwa mumewe ana ngwengwe je anatumia life support. pia ananiona mi mstaarabu sana.

nimeanza hata kukonda kwa mawazo. maana jamaa wanasema "ana ngoma ana ngoma wallah sitapona"

Duhhh Mwamba pole sana ......

Kuna mawili
Demu Hana ngoma ila kitendo cha ww kutumia Majonzi yake kumtombaa kilimuuma ndio maana akaamua kukaa kimya kujutia iko kitu.

Demu anangoma, ndomaana alikasirika kwa hasira za kuumia kwann Umemla bila ndomu so hapo tena alitaman hata Msionge tena wala usimuone tena sema akawazaaa weee akagundua atakuacha ktk mawazo mengi .

Chakufanya , Talk to her usikae nalo moyoni bure, muulize kwa gia ya mgongo wa mumewe.

Like..."Rose kwann hukuniambia kua Mumeo Anatumia ARVs? "............

Alafu utamsikilizia kwa makin majibu yake .
 
Kwa hiyo umetuona na sisi ni Machizi kama uitwavyo hata kuamua kuja kusimulia uchizi??
 
Huyo mnenguaji alikuwa diana astonvila?

Anza kula vizuri na ufanye mazoezi
Mwandiko wa mleta mada mbona kama ni wa mwanafunzi wa shule za kata,Diana mauno angemkutia wapi?
Yeyote atakaye/aliye kufa chanzo kikiwa ni Diana,basi,ata/amekufa akitetea heshima ya ukoo.
Hawa yuu shemeji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom