Kama ni kweli basi hii aibu ni kubwa mno kwa Rais Magufuli....

Hahaha...uzuri wa jinai hainaga mbwembwe, unavuta bangi, hii ni nyumba yako, huu ni msokoto wa bange eti enh!?.."ndio"..."nitaacha jaman nimekoma naomben mnisamehe"...MTU anikumbushe hapo ni mingapi kweli??!!
 
Wote tumeshuhudia kilichoitwa 'vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya'

lakini taarifa zilizojitokeza wiki hiii za kuwa kumbe 'baadhi ya watuhumiwa'
TID na Tunda na Rommy Jones' walilipwa shilingi milioni mbili' kila mmoja

ili tu 'kufanikisha usanii huo wa vita ya kupigana na madawa''
iwapo hizo taarifa ni za kweli....basi hii aibu ni kubwa mno kwa utawala huu..

Yoote hayo ili iwe nini?

wanajaribu ku achieve nini hasa?

Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?
Kama ameweza kuangalia prof uchwara akiiba pesa za cuf,nimeshamtoa ktk vita dhidi ya ufisadi
 
Uyu mtoto naomba tu ndugu zangu msameheni maana ndio yuko kwenye kipindi cha balehe lazima akili zimruke kidogo na ni muda wake wa ku-create identity ivyo yuko radhi afanye jambo lolote lile naamini akikua ataacha.
 
Ngoja nione kama kuna mgongano wa kimaslahi baina ya manji na tajiri mtoto salaah ntakuja tena jamvini kwa Sababu mpaka muda huu tuna convict mmoja tu wakati list ilikuwa kubwa balaaaa
 
Wote tumeshuhudia kilichoitwa 'vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya'

lakini taarifa zilizojitokeza wiki hiii za kuwa kumbe 'baadhi ya watuhumiwa'
TID na Tunda na Rommy Jones' walilipwa shilingi milioni mbili' kila mmoja

ili tu 'kufanikisha usanii huo wa vita ya kupigana na madawa''
iwapo hizo taarifa ni za kweli....basi hii aibu ni kubwa mno kwa utawala huu..

Yoote hayo ili iwe nini?

wanajaribu ku achieve nini hasa?

Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?
Hii yote ni kumchafua Makonda.Sasa kama TID akipewa milioni mbili ili aache madawa akanunue kifaa cha bendi yake aendee lupiga mziki kuna tatizo gani
 
Wote tumeshuhudia kilichoitwa 'vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya'

lakini taarifa zilizojitokeza wiki hiii za kuwa kumbe 'baadhi ya watuhumiwa'
TID na Tunda na Rommy Jones' walilipwa shilingi milioni mbili' kila mmoja

ili tu 'kufanikisha usanii huo wa vita ya kupigana na madawa''
iwapo hizo taarifa ni za kweli....basi hii aibu ni kubwa mno kwa utawala huu..

Yoote hayo ili iwe nini?

wanajaribu ku achieve nini hasa?

Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?
Mtatapatapa sana, but the war continues.
 
Mnaofikiri ni usanii acheni ushoga, mateja wanalalama hakuna dawa na wengine wanakimbilia ktk vituo vya dawa kuponya maisha yao baada ya kukosa unga wewe unaleta ukuda nenda kwa bwanaako Mbowe Dj mkalambe wote kenge wewe
Madawa hapa tatizo ni kupita kwenda kwingine na kutuchafulia sifa ila Ulivyo mbito unadhani haya madawa wanaokula ndugu zako ndio yanayiichafua nchi hawa mateja wananunua uchafu.

CCM iligeuza hii nchi kuwa drug free port.
 
157611.jpg

IWE USANII AU LA, LENGO NI KUMTOA NYOKA PANGONI MWAKE!
Kwa hili la madawa ya kulevya Paul Makonda kapiga 'BULL'S EYE', yaani 'MKALOGOTE WENYEWE KUNYAVU'!
 
Hatukuishia kuwalipa tu pesa, pia tumewalipia gym
b354d9d662243c4ae2e71b999a8a72a7.jpg

with Boss Salaah "GSM"
23854824d921514f412927c67eea8901.jpg

Rommy nae sijui anataka akachukue nafasi ya mwarabu fighter bodyguard wa Chibu
17e8c3b9e594ae018d79dafc8182d37d.jpg

Daudi Bashite Raisi wa dar msanii Ommy d anayeishi kifahari japo ahit now days..anaishi kwenye bangalore alilolipiwa na GSM. Wakiwa Gym
e19ab84d50cb3b0fd31d135940d74443.jpg

Mwana FA hakuwa mjinga kuimba "Tajiri mtoto kama salah zipo ila sikupi mi sio bahili m nibalaa" katika kumsifia boss wao
"The Circle"
Usiulize makonda anatoa wapi pesa
Basi bana

Shikamoo Mzee Banseni Burner
 
Hapa nadhani yote ni bado ccm ipo kwenye hangover ya kilichotokea October, 2015
Hangover ikiisha tayari 2020
 
Wote tumeshuhudia kilichoitwa 'vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya'

lakini taarifa zilizojitokeza wiki hiii za kuwa kumbe 'baadhi ya watuhumiwa'
TID na Tunda na Rommy Jones' walilipwa shilingi milioni mbili' kila mmoja

ili tu 'kufanikisha usanii huo wa vita ya kupigana na madawa''
iwapo hizo taarifa ni za kweli....basi hii aibu ni kubwa mno kwa utawala huu..

Yoote hayo ili iwe nini?

wanajaribu ku achieve nini hasa?

Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?
Mkuu Daudi Bashite ana reflect Babaake alivyo
 
Hatukuishia kuwalipa tu pesa, pia tumewalipia gym
b354d9d662243c4ae2e71b999a8a72a7.jpg

with Boss Salaah "GSM"
23854824d921514f412927c67eea8901.jpg

Rommy nae sijui anataka akachukue nafasi ya mwarabu fighter bodyguard wa Chibu
17e8c3b9e594ae018d79dafc8182d37d.jpg

Daudi Bashite Raisi wa dar msanii Ommy d anayeishi kifahari japo ahit now days..anaishi kwenye bangalore alilolipiwa na GSM. Wakiwa Gym
e19ab84d50cb3b0fd31d135940d74443.jpg

Mwana FA hakuwa mjinga kuimba "Tajiri mtoto kama salah zipo ila sikupi mi sio bahili m nibalaa" katika kumsifia boss wao
"The Circle"
Usiulize makonda anatoa wapi pesa
Kwenye picha ya mwisho naona ndugu Bashite anamuangalia ommy dimpoz kwa jicho la wivu
 
Back
Top Bottom