The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,229
- 116,840
Wote tumeshuhudia kilichoitwa 'vita dhidi ya biashara ya madawa ya kulevya'
lakini taarifa zilizojitokeza wiki hiii za kuwa kumbe 'baadhi ya watuhumiwa'
TID na Tunda na Rommy Jones' walilipwa shilingi milioni mbili' kila mmoja
ili tu 'kufanikisha usanii huo wa vita ya kupigana na madawa''
iwapo hizo taarifa ni za kweli....basi hii aibu ni kubwa mno kwa utawala huu..
Yoote hayo ili iwe nini?
wanajaribu ku achieve nini hasa?
Hela wanazotuhumiwa kupewa kina TID zilitolewa na nani na kutoka fungu gani?