Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,552
- 14,803
Taarifa alitoa Rais!Comrade Kinana hakwenda India kutibiwa. Yeye alitumwa kwenye matibabu India. Na iliandikwa FENT FORD kabisa kwenye magazeti..ALITUMWA kwenye matibabu India
Taarifa alitoa Rais!Comrade Kinana hakwenda India kutibiwa. Yeye alitumwa kwenye matibabu India. Na iliandikwa FENT FORD kabisa kwenye magazeti..ALITUMWA kwenye matibabu India
Kuna matatizo makubwa ya fikra miongoni mwetu watanzania. Wengine hatujitambui n.a. yuko busy kujaribu kuwaambukiza wengineMbona sioni tatizo lolote....
Mmeumbuka kwenye ndege na huyo mpiga picha wenu sasa mmeibuka na non issue kuhusu mzee Kinana....
Bado nacheka kuhusu mpiga picha Woody....😀