Kama ni hivyo, Hamas wapewe maua yao

Kama ni hivyo, Hamas wapewe maua yao

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Kuna taarifa zenye utata ya kuwa viongozi wa Iran wamesemea hawatoi msaada kwa Hamas eti kwa vile hawakuwaeleza mapema kuhusiana na shambulio lao la okotoba 7.

Hizbolah nayo ya Lebanon iliwahi kusema haikuhusika na taarifa kuhusiana na shambulio la oktoba 7.Mpaka sasa hakuna aliyesema kwamba aliwasaidia Hamas kwa namna yoyote ile katika kupanga na kutekeleza shambulio lao hilo.

Hiyo ni habari njema kwa wale wanaokuwa kwenye shida kubwa za maisha.Usiwe unalialia tu bila kuchukua hatua za kujinasua kwa nafsi yako.

Na kwa ujumla hiyo ndiyo kanuni muhimu ya maisha kila mtu huipenda aione kwa mwenye shida.Hata benki huwezi kulala nyumbani mpaka ukaota ukurutu halafu unakwenda kupeleka barua upewe mkopo.

Serikali nyingi hupenda kusaidia wananchi waliojikushanya kushughulikia changamoto za maeneo yao kabla ya kuomba msaada serikali kuu.

Ukiwa na fedha za kusaidia watu pia usiwe unatoa pesa kwa omba omba wa mitaani.Tafuta mwenye akili aliyeanza kuuza hata vitu vya mkononi.

Hamas wameonesha mfano kwa kujisaidia wenyewe kwenye shida zinazowakabili wao kwanzo japo zinawahusu na wengine duniani.Hawakuwa na sababu ya kuomba ruhusa kwa yeyote wala kutoa taarifa ya mipango yao.

Inajulikana kuwa Gaza imekuwa kama Gereza kwa muda mrefu.Kila kinachoingia lazima kipitie mikononi mwa Israel na kibaraka wao Misri.Katika hali hiyo wamekuwa wakitumia chuma chakavu na mabaki ya makombora ya Israel kujiundia makombora yao hatua kwa hatua mpaka yamefikia kuruka mpaka Tel Aviv mji mkuu wa Israel.

Sasa kama kuna anayewalaumu au kufanya nongwa kwamba hakujulishwa Hamas wanaweza kumwambia nenda zoko huko.

Kama waweza kutusaidia fanya kama wajibu kwako na kama hutaki tuwache na Mungu wetu.
 
Je na mnayemuabudu vipi naye kapotezea?
Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.
Kila unachokiona kwako ni kibaya sana au ni kizuri sana kwake ni kawaida tu,Na huwa ni mtihani kwa waja wake wote.
Jee watasubiri katika shida kubwa na kuendelea kumuabudu yeye.Au jee kwa ukali wa shida za wenzao watasaidia au wataumia kwa shida hizo?
Msaada wake huja kwa yule anayejitahidi katika hatua za kukata tamaa sana.
Huko nyuma kuna waliopewa mitihani mikubwa kuliko hiyo na wengine wakafuzu na baadhi wakafeli.Malipo mbele kwa mbele.
 
Kwamba Hamas wapewe maua yao kufa kama panya?? Wachache waliosalia wamejificha kwenye mahandaki kama KAKAKUONA.

Kwa akili yako unadhani hicho kinachowakuta ndicho walichokotegemea?

Hakika nakwambia, ikitokea miujiza Hamas wakafufuka, nakuhakikishia wataikana hiyo DINI inayowatapeli kwa maslahi ya viongozi wachache.

Kwamba wapewe maua watu waliosababisha vizazi vyao kufutwa kwenye uso wa dunia!? Huna akili
 
Waliyajua mapema hayo.Ndio maana wakachimba mashimo Israel na teknolojia yao yote walishindwa kujua na sasa wameshindwa kuwaona walipo wao na mateka wao.Kwa akili ya kawaida hapo ni mashada ya maua tu.
 
Mfano upi huo?! Kuua, kuchoma watoto wadogo pamoja na kuteka na kubaka wanawake[emoji30]?!
Hakuna aliyewaona.Ni uzushi tu.Waliochomwa na kuuliwa wapalestina ni karibu eflu 5 mpaka leo na hata wewe umewaona.
 
Usipotoshe!

Ayatollah alisema ataingia front mwenyewe! Ila kaona Yanini atafyekwa mapema tu, alichabaki nacho ni kuwapa tu visiraha nk
 
Hujasoma wenzako wanasema eti kaamua kuwaacha mkono.Mimi ndio nikasema ni habari yenye shaka.
kwa vyovyote vile Hamas bado wanastahiki hicho kitu.Kama walipewa wakatumia bila ufisiadi na kama hawakupewa wakajifanyia wenyewe kwa walichonchao mkononi.
 
Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.
Kila unachokiona kwako ni kibaya sana au ni kizuri sana kwake ni kawaida tu,Na huwa ni mtihani kwa waja wake wote.
Jee watasubiri katika shida kubwa na kuendelea kumuabudu yeye.Au jee kwa ukali wa shida za wenzao watasaidia au wataumia kwa shida hizo?
Msaada wake huja kwa yule anayejitahidi katika hatua za kukata tamaa sana.
Huko nyuma kuna waliopewa mitihani mikubwa kuliko hiyo na wengine wakafuzu na baadhi wakafeli.Malipo mbele kwa mbele.
Angekuwa Mungu angesha jibu siku nyingi. Lakini kwa kuwa ni mungu, hapo mtasubiri sana. Halafu Mungu hajawahi kusimama upande wa wafilisti tokea hapo hasa wanapopigana na Israeli read the Bible and you'll know the truth.
 
Unajidanganya sana.Mwaka huu ndio utamjua Mungu ni nani ?
 
Ila Israel ikiendelea na hii vita ndani ya Gaza hata miezi 3 haishi Hamas watakuwa wamefutika kabisa wengine watakimbilia Qatar, Jordan,misri, Syria, Lebanon

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kuna taarifa zenye utata ya kuwa viongozi wa Iran wamesemea hawatoi msaada kwa Hamas eti kwa vile hawakuwaeleza mapema kuhusiana na shambulio lao la okotoba 7.

Hizbolah nayo ya Lebanon iliwahi kusema haikuhusika na taarifa kuhusiana na shambulio la oktoba 7.Mpaka sasa hakuna aliyesema kwamba aliwasaidia Hamas kwa namna yoyote ile katika kupanga na kutekeleza shambulio lao hilo.

Hiyo ni habari njema kwa wale wanaokuwa kwenye shida kubwa za maisha.Usiwe unalialia tu bila kuchukua hatua za kujinasua kwa nafsi yako.

Na kwa ujumla hiyo ndiyo kanuni muhimu ya maisha kila mtu huipenda aione kwa mwenye shida.Hata benki huwezi kulala nyumbani mpaka ukaota ukurutu halafu unakwenda kupeleka barua upewe mkopo.

Serikali nyingi hupenda kusaidia wananchi waliojikushanya kushughulikia changamoto za maeneo yao kabla ya kuomba msaada serikali kuu.

Ukiwa na fedha za kusaidia watu pia usiwe unatoa pesa kwa omba omba wa mitaani.Tafuta mwenye akili aliyeanza kuuza hata vitu vya mkononi.

Hamas wameonesha mfano kwa kujisaidia wenyewe kwenye shida zinazowakabili wao kwanzo japo zinawahusu na wengine duniani.Hawakuwa na sababu ya kuomba ruhusa kwa yeyote wala kutoa taarifa ya mipango yao.

Inajulikana kuwa Gaza imekuwa kama Gereza kwa muda mrefu.Kila kinachoingia lazima kipitie mikononi mwa Israel na kibaraka wao Misri.Katika hali hiyo wamekuwa wakitumia chuma chakavu na mabaki ya makombora ya Israel kujiundia makombora yao hatua kwa hatua mpaka yamefikia kuruka mpaka Tel Aviv mji mkuu wa Israel.

Sasa kama kuna anayewalaumu au kufanya nongwa kwamba hakujulishwa Hamas wanaweza kumwambia nenda zoko huko.

Kama waweza kutusaidia fanya kama wajibu kwako na kama hutaki tuwache na Mungu wetu.
Iran ameona maji yamefika shingoni , Kila kitu kimeharibika Gaza, utawala wa Gaza umeondoka, kwa aibu wameshindwa kuwasaidia wanaona wajisafishe Kwa Hilo. Utaaminije propaganda kutoka Iran?
 
Waliyajua mapema hayo.Ndio maana wakachimba mashimo Israel na teknolojia yao yote walishindwa kujua na sasa wameshindwa kuwaona walipo wao na mateka wao.Kwa akili ya kawaida hapo ni mashada ya maua tu.
Mpalestina wa Tandale anawapa marehemu wa Hamas maua.

Akili hizi! Watu wamepukutishwa km nzige halafu unawapa maua.
 
Kama
Huyo usimjadili kabisa.Hufanya anavyopenda na haulizwi.
Kila unachokiona kwako ni kibaya sana au ni kizuri sana kwake ni kawaida tu,Na huwa ni mtihani kwa waja wake wote.
Jee watasubiri katika shida kubwa na kuendelea kumuabudu yeye.Au jee kwa ukali wa shida za wenzao watasaidia au wataumia kwa shida hizo?
Msaada wake huja kwa yule anayejitahidi katika hatua za kukata tamaa sana.
Huko nyuma kuna waliopewa mitihani mikubwa kuliko hiyo na wengine wakafuzu na baadhi wakafeli.Malipo mbele kwa mbele.
Kama October 7 walisema Allah Akbar na sasa wameuliwa wote.... unaweza kutuambia Allah wao kawapuuza au kawaadhibu??
 
Hatimaye Israel taifa teule limeinyakua gaza takibiir
 
Mpalestina wa Tandale anawapa marehemu wa Hamas maua.

Akili hizi! Watu wamepukutishwa km nzige halafu unawapa maua.
mayahudi wangapi nao wamepukutishwa mpakasasa na hakuna mafanikio zaidi ya kuingia Gaza.
 
Mwanzo mlisema hawaingii Gaza

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Wameingia na sasa wanatamani kutoka baada ya kupata hasara kubwa ya kijeshi na kiuchumi bila kufanikiwa lengo lao kuu la kurudi na mateka mabegani na kuwamaliza Hamas.
Muda kila unavyosonga ndivyo hali zitakavyobadilika
 
Back
Top Bottom