Unahisi Ndio kina Albert Msando aliyesema anasimamia utekelezaji wa maagizo kutoka mamlaka za juu?Nahisi ile barua imeandikwa na kile kikundi cha utekaji a.k.a watu Wasiojulikana
Serikali ya Malkia SASHA ni utawala uliofitinika! Haiwezi kusaidia kubalini chochote! Utawala umeparaganyika!Leo, nimemuona na kumsikia Wakili Msomi mwenzangu Peter Kibatala (kupitia video clip) akizungumzia uhalali wa barua iliyotumika kufungia makanisa yanayoongozwa na Askofu Gwajima.
Kwa mujibu wa Kibatala na muktadha wa mazungumzo yake ndani ya Mahakama Kuu kule Dodoma, Kanisa lililofungiwa lilijaribu kukata rufaa juu ya uamuzi huo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa mujibu wa sheria.
Kibatala akaeleza kuwa Waziri husika ametamka kuwa barua husika, pamoja na mambo mengine, SI HALALI. Waziri amesema kuwa hakuna rufaa ya kuishughulikia kwakuwa barua ni batili na uamuzi uliobebwa humo ni batili.
Barua inayosemwa ni batili/si halali ndiyo iliyotumiwa na mamlaka za kiserikali wakiwemo polisi kutekeleza kinachobebwa na barua hiyo. Makanisa Dar es Salaam na Mbeya (penginepo sifahamu) yamefungwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Tumeona na kusikia kuhusu hili. Sasa, imewezekanaje barua batili/isiyo halali kusababisha kufanyika kwa yote haya? Nani huyu aliyeghushi barua hii na kusababisha yote haya? Amefanya haya kwa faida ya nani?
Kama hivyo ndivyo, tupo kwenye tatizo kubwa. Sana! Serikali itusaidie kubaini jambo hili na kukomesha kujirudia kwa jambo kama hili.
Tayari.Tumeona na kusikia kuhusu hili. Sasa, imewezekanaje barua batili/isiyo halali kusababisha kufanyika kwa yote haya? Nani huyu aliyeghushi barua hii na kusababisha yote haya? Amefanya haya kwa faida ya nani?
Ndio GENGE hao hao, akina Muliro.Muliro anasemaje
Ova
Kuna movie ilikuwa inatengenezwa ishindane ukali na ya chadema hatimae chadema ishafungiwa itapoa sasa haina nguvuLeo, nimemuona na kumsikia Wakili Msomi mwenzangu Peter Kibatala (kupitia video clip) akizungumzia uhalali wa barua iliyotumika kufungia makanisa yanayoongozwa na Askofu Gwajima.
Kwa mujibu wa Kibatala na muktadha wa mazungumzo yake ndani ya Mahakama Kuu kule Dodoma, Kanisa lililofungiwa lilijaribu kukata rufaa juu ya uamuzi huo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa mujibu wa sheria.
Kibatala akaeleza kuwa Waziri husika ametamka kuwa barua husika, pamoja na mambo mengine, SI HALALI. Waziri amesema kuwa hakuna rufaa ya kuishughulikia kwakuwa barua ni batili na uamuzi uliobebwa humo ni batili.
Barua inayosemwa ni batili/si halali ndiyo iliyotumiwa na mamlaka za kiserikali wakiwemo polisi kutekeleza kinachobebwa na barua hiyo. Makanisa Dar es Salaam na Mbeya (penginepo sifahamu) yamefungwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Tumeona na kusikia kuhusu hili. Sasa, imewezekanaje barua batili/isiyo halali kusababisha kufanyika kwa yote haya? Nani huyu aliyeghushi barua hii na kusababisha yote haya? Amefanya haya kwa faida ya nani?
Kama hivyo ndivyo, tupo kwenye tatizo kubwa. Sana! Serikali itusaidie kubaini jambo hili na kukomesha kujirudia kwa jambo kama hili.
Posho za kuzuia shughuli za kanisa zerejeshwe kesho asubuhi kabla ya saa nne.Vinginevyo panga lipita mwisho wa mwezi kwa kila aliyehusika.Muliro anasemaje
Ova
Huyu mzee anaenda kustaafu vibaya sana.Muliro anasemaje
Ova
Mkuu 🙋👏🤝👍🙏Leo, nimemuona na kumsikia Wakili Msomi mwenzangu Peter Kibatala (kupitia video clip) akizungumzia uhalali wa barua iliyotumika kufungia makanisa yanayoongozwa na Askofu Gwajima.
Kwa mujibu wa Kibatala na muktadha wa mazungumzo yake ndani ya Mahakama Kuu kule Dodoma, Kanisa lililofungiwa lilijaribu kukata rufaa juu ya uamuzi huo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa mujibu wa sheria.
Kibatala akaeleza kuwa Waziri husika ametamka kuwa barua husika, pamoja na mambo mengine, SI HALALI. Waziri amesema kuwa hakuna rufaa ya kuishughulikia kwakuwa barua ni batili na uamuzi uliobebwa humo ni batili.
Barua inayosemwa ni batili/si halali ndiyo iliyotumiwa na mamlaka za kiserikali wakiwemo polisi kutekeleza kinachobebwa na barua hiyo. Makanisa Dar es Salaam na Mbeya (penginepo sifahamu) yamefungwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Tumeona na kusikia kuhusu hili. Sasa, imewezekanaje barua batili/isiyo halali kusababisha kufanyika kwa yote haya? Nani huyu aliyeghushi barua hii na kusababisha yote haya? Amefanya haya kwa faida ya nani?
Kama hivyo ndivyo, tupo kwenye tatizo kubwa. Sana! Serikali itusaidie kubaini jambo hili na kukomesha kujirudia kwa jambo kama hili.
Mkuu mbona unajizima data, kwa mujibu wa mleta hoja akimnukuu Kibatala, waziri kasema barua sio halali na hivyo ujumbe sio halali kwa maana hiyo hakuna rufaa.Ni mimi sijaelewa au watu wameamua kutazama upande mmoja?
Baada ya waziri kusema sio halali, ametoa maelekezo gani? Ameeleza nini kifanyike? Ameeleza hatua zinazochukuliwa na wizara juu ya hilo?
Kama hakuna alichosema, then hiyo ni punch usoni kwa Kibatala ili kusiwe na rufaa, maelekezo ya barua yaendelee kutekelezwa.
Ndio maana kama barua si hali hivyo hakuna rufaa yakushuhulikia.
Naona watu mmejikita kivingine kabisaa
Rufaa ikifanyika kwa haki itarudishia waumini na kiongozi wao haki yao. Ndio maana imepigwa juu kwa juu.
🤔 🤔 🤔 💭Kama ndiyo, Kibatala naye kaenda kufungua kesi dhidi ya nani na kulalamikia nn iwapo barua siyo halali?
Mkuu mashaka yako hayabadilishi chochote, maana hukumchagia hata senti 5 kwenye Ada yake.Yaani kabisa unajiita wakili msomi na kushauri haya:
Serikali itusaidie kubaini jambo hili na kukomesha kujirudia kwa jambo kama hili.
Serikali gani hiyo?
Nina mashaka na huo uwakili wako msomi...
Mkuu nakuunga mkono, Askofu Gwajima alikuwa sahihi, na mtego alioutega umenasa na kuthibitisha ukweli wa hoja yake kuu!Tayari.
Ile nadharia ya kuwepo na "serikali" ndani ya serikali sasa inageuka kuwa uhalisia.
Kuna GENGE pembeni linaloendesha shughuli za kiserikali. Hili Genge lipo chini ya BAKWATA.
Nikuombe ufikiri.Mkuu mbona unajizima data, kwa mujibu wa mleta hoja akimnukuu Kibatala, waziri kasema barua sio halali na hivyo ujumbe sio halali kwa maana hiyo hakuna rufaa.
Wewe Mkuu unasemaje utekelezaji uendelee, kwa unatuambia kamaanisha ubatili uendelee???
Jesho la polios lifanye zika kaw werediLeo, nimemuona na kumsikia Wakili Msomi mwenzangu Peter Kibatala (kupitia video clip) akizungumzia uhalali wa barua iliyotumika kufungia makanisa yanayoongozwa na Askofu Gwajima.
Kwa mujibu wa Kibatala na muktadha wa mazungumzo yake ndani ya Mahakama Kuu kule Dodoma, Kanisa lililofungiwa lilijaribu kukata rufaa juu ya uamuzi huo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa mujibu wa sheria.
Kibatala akaeleza kuwa Waziri husika ametamka kuwa barua husika, pamoja na mambo mengine, SI HALALI. Waziri amesema kuwa hakuna rufaa ya kuishughulikia kwakuwa barua ni batili na uamuzi uliobebwa humo ni batili.
Barua inayosemwa ni batili/si halali ndiyo iliyotumiwa na mamlaka za kiserikali wakiwemo polisi kutekeleza kinachobebwa na barua hiyo. Makanisa Dar es Salaam na Mbeya (penginepo sifahamu) yamefungwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.
Tumeona na kusikia kuhusu hili. Sasa, imewezekanaje barua batili/isiyo halali kusababisha kufanyika kwa yote haya? Nani huyu aliyeghushi barua hii na kusababisha yote haya? Amefanya haya kwa faida ya nani?
Kama hivyo ndivyo, tupo kwenye tatizo kubwa. Sana! Serikali itusaidie kubaini jambo hili na kukomesha kujirudia kwa jambo kama hili.
Mkuu una uhuru wa maoni na mtazamo wako na nauheshimu.Nikuombe ufikiri.
Waziri mwenye dhamana, ambae rufaa inakatwa kwake, barua batili imetumika kutekeleza amri batili.
Kwakua amegundua ubatili wa barua alipaswa afanye nini? Amekifanya alichopaswa?
Alichokifanya ni kukataa kuendelea na rufaa kwasaba uya ubatili wa amri, vipi kuhusu ubatili aliougundua ikiwa yeye ndo waziri mwenye dhamana?