Kama ndio tumeshafika hapa..... Acha nishuke!

Kama ndio tumeshafika hapa..... Acha nishuke!

Colabo yao haikuanza leo

Ndie yale ma Post ya hooo naota nakabwa na jinamizi Mara oooh nimeamka asubuh nakuta nimepigwa chale na wachawi Daaah kumbe uchawi wooote ni mikucha ya plastic ya mkeo . Ghaa
 
unatafuna tu,ukiangalia kucha huli kwa raha,badala ya kushtuka mpe mgongo akukune na kucha,halafu mengenya hizo kucha ukimshirikisha,yaani unakata kipande kisha mnatafuna km bigijii huku unapima oil na engine km imechemka,kisha vipande mlivyotafuna unafyonza vyote mdomoni kwako alafu unavitelekeza kwenye kisoda na mbunye.kisha piga mzigo tundu zote abrakadabra.
lete matokeo
Una stress bila shaka
 
Hapo akipost insta utaona anavyosifiwa na wenzie..ooh mumy u luk so good...nimependa kucha zako jamani...wanawake sisi kwa unafiki tutakuwa kuni za kuchomea wengine
 
Hao ni ndege?
Binadamu hawezi kuwa hivo.
 
16387252_10154941566707387_2412525825995581713_n.jpg
Hii inaitwa kwa mfano
 
Hawana tofauti na WAVAA MAWIGI........

Wanawake wengi hawajiamini kabisa kuwa wanajitosheleza walivyo. Wasichoelewa ni kuwa mwanaume wa kweli haoi wala kuwa na uhusiano wenye afya na wavaa makucha na mawigi.

Kwa TB Joshua wanawake wanaoanguka na mapepo wote wanakua na mawigi. Kuna sababu hapo......
 
Ndie yale ma Post ya hooo naota nakabwa na jinamizi Mara oooh nimeamka asubuh nakuta nimepigwa chale na wachawi Daaah kumbe uchawi wooote ni mikucha ya plastic ya mkeo . Ghaa
 
Mwanamke ana uhusiano wa karibu sana na yule mwovu ibilisi.....


Hii post yako imeonyesha uwezo wako wa kufikiri. Inawezekana umeathiriwa na mfumo dume wa kidini lakini kiukweli kuna wanaume wengi mashetani kuliko wanawake.
 
Kusema mwanamke yuko karibu sana na shetani inaonyesha hukutumia akili kabla ya kuainisha hii kauli yako. Yaani umekaririshwa na imani za kidini tu

Inawezekana ukawa sahihi.....
Lakini nimegundua kuwa sisi ni watu wawili tunaongea lugha tofauti......

Na hichi ndicho kinacholeta msawazo kwenye jamii......

Ngoja niyachukulie kama maoni yako.....
 
Inawezekana ukawa sahihi.....
Lakini nimegundua kuwa sisi ni watu wawili tunaongea lugha tofauti......

Na hichi ndicho kinacholeta msawazo kwenye jamii......

Ngoja niyachukulie kama maoni yako.....


Haya sio maoni yangu tu huu ni ukweli. Hii dunia imejaa wanaume mashetani kuliko wanawake na mifano tuiona kila siku
 
Back
Top Bottom