Mi mbio tu nitafikri labda nimemgegedea na hiyo kujifanya amenifananisha ni danganya toto ,kisu kinakuja hapo!Hahahha nimecheka halafu nikapata picha mimi ndio yamenikuta hayo, nitamwambia naomba na mimi nikufanananishe aiseee
Hapo lazima kinukeee, eeti nimekufananisha halafu ndo umuache tu kwa vile kaomba msamaha mimi mbona atajuta kunifananisha
Kwani wewe ulivyopigwa ulichukua hatua gani?