Kama nawe umo

Kama nawe umo

de fcb1 fan

Member
Joined
May 20, 2013
Posts
14
Reaction score
2
Wandugu kama kuna mtu anajua jinsi ya kuongeza OS (operating systeam) ya simu hasa android devices anisaidie mana nimeckia kufanya hyo ki2 inawezekana japo cjampata mtaalam hata mmoja................kwa maendeleo tu kiroho safi
 
Sijakusoma mkuu, hebu nyoosha maelezo kidogo, au unamaaniza ku-upgrade to a later version? if so, unatumia simu gani na upo kwenye version gani?
 
Back
Top Bottom