RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Biashara ya hawa jamaa imefikia hapa wanadhani sasa ni muda mwafaka wa kuwashawishi watu wengi zaidi kuzikimbilia dawa hizi wafanyapo ngono..Uenda mamilioni ya watu wakafulika kuyanunua ili tu kujiepusha na maambukizi ya HIV ni wazi watatengeneza mamilioni ya fedha kwa kuwa kila mtu ataanza kumeza hata kama sio POSITIVE ili mradi tu kujikinga na protein 24 asiwe HIV