Kama natoka na mumeo...

Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Ila kweli bwana!si utulie ww ushawekwa ndani ya nje ya nn!
 
You will be killed ukichezea ndoa za watu wee jifanye mjuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…