StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 5,619
- 5,885
Salaamu na pole kwetu sote kwa ubatizo wa moto tunaoendelea kubatizwa nao ili hatimaye tung'are na kuwa kama dhahabu safi.
Binafsi huwa nina hii 'kasumba', huwa nakuwa mzito sana wa kumshauri mtu ushauri ambao kuna watu ambao walitangulia kumshauri muhusika halafu akaupuuza(haijalishi ushauri huo una thamani kiasi gani).