RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,858
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.
Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu kukosa mvuto kabisa, political will ya watu imeshuka mnooo.
Ni dhahiri Mh.Samia atawashinda Kwa kishindo wapinzani wake kina Salumu na Mpina, ila for the sake of national interest nashauri yafuatayo.
1. Lissu aachiwe awe huru.
2.Ni dhahiri nchi imegawanyika, ili mh.Rais aongoze nchi iliyo moja bila kelele za ndani na nje ya nchi, baada ya uchaguzi bunge lifanye marekebisho kidogo ya katiba ,ili kuongeza nafasi za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.
3. Samia akutane na Lissu wayajenge,najua wanachukiana,but this is for national interest.
4. Samia awape position kama 10 ,Chadema za ubunge wa kuteuliwa na Raisi.
5. For the national interest Chadema wakubali viti hivyo.
6 Tulidhiane,tupendane,tushauliane nchi yetu isonge mbele.
Mwenyekiti wangu wa chama changu cha mapinduzi, nakuomba sana Mwachie Lissu.
Kidumu chama Cha mapinduzi.