Kama Mwalimu angelikuwepo...

Sina uhakika kama kweli watavua magamba! ha ha
 
Mkapa kalamba vyake na kaanza kimya kimya kimya, Mwinyi mbona hayupo au yeye fresh?
 
Kwa staili hiyo nadhani ku2buruza kusinge kuwepo.
 
Mh huyo anayeadhibiwa nadhan fimbo zake zingekuwa zaid ya mia.
 
Anayeendelea kulambwa ilifaa avue nguo kabisa ili fimbo ziingie ndani zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…