Kama muvi vile

Kama muvi vile

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,117
Reaction score
8,096
Hili ni tukio la kweli kabisa.








Cheki video uone jinsi Makomandoo wa Kimarekani walivyokamata nyambizi lililokuwa limesheheni kilo za madawa ya kulevya za kutosha zilizokuwa zikisafirishwa kimagendo katika bahari ya Pacific kutoka nchi ya Mexico.
 
Back
Top Bottom