Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,593
- 53,370
Usichoke banaha unajua kuna watu wanapitia magumu lako jepesi 😄😄 angalau wewe umepata hata muda wa kutafakari wengine moyo umejaa uchungu balaa, Mungu wetu hutupenda sote majaribu yakiwa mengi ujuwe una kitu na shetani hataki ufanikiwe kanyagia hapo hapo mzee mlwe muombe Mungu tu,japo jata sala fupi sema Mungu nirehemu Mungu unisamehe Mungu unisaidie Mungu unipitishe salama kwenye kila gumuNimechoka na dunia tu Mkuu, japo siwezi kujinyonga🤣🤣🤣🤣🤣🤣.