Acha ubege wewe Mengi ndiyo enginia wa yanayomkuta kiongozi bora 2014 Prof. Muhongo, Unahitaji ushahidi gani zaidi kwani kipindi wanalumbania vitalu hukusikia au unajisahaurisha bwana kasinge. Mengi ni Fisadi mkubwa Tanzania hii amefilisi NBC kwa kugoma kulipa madeni aliyokopa, na kama ni mtu makini uliposoma ripoti ya CAG hakuna mahali panamtaja Muhongo kuchukua pesa za Escrow, pia unanisikitisha kama bado umekariri kuwa pesa zile zilikua za umma. napata wasiwasi na ufuatiliaji wako wa mambo, rais alikiri kuwa pesa zile hazikua za umma upo mzee, acha porojo zisizo na mantiki, tunataka maendeleo hatutaki porojo na ushabiki wa kisiasa.
Ni kuchukuliwa hatua za kinidhamu baada ya kubainika umekosea.
Muhongo kakwapua wapi?leta ushahidi muhongo kapewa kiasi gani vinginevyo unapenda umbea na ushangingi,kaimbe taarabu basi.
Kama hujuwi imekula kwako.
Maswi hakuwajibishwa, amesimamishwa kupisha uchunguzi. Kumbuka hilo.
Mengi mwizi tu. Dawa yake muhongo hahahaha
Muhongo mwizi sana.Mengi mpuuzi sana.
kwahiyo Maswi alivyosimamishwa kazi amebainika kukosea nini?au pale hajawajibishwa?na kama amekosea ina maana Muhongo hana kosa ila maswi ndo ana kosa?[/QUO
TE]
Maswi hajawajibishwa bali amesimamishwa(suspension) kupisha uchunguzi.NA MSHAHARA HAUJASIMAMA.
Amewajibishwa Maswi na watendaji wendine wa Tanesco kwa utendaji mbaya wa Wizara ambayo anaiongoza Muhongo. Muhongo yupo kiporo anazunguka kama pia. Sasa wanapoandika waandishi wa Habari wa IPP kwa nini tunakimbilia kusema ni Mengi? Kwani wale waandishi wa IPP hawajui kutafuta habari na kwamba Mengi ndo anawatafutia habari? Kwamba Mengi kakosa Vitalu ndo maana anamshambulia Muhongo? Leteni ushahidi hapa muache hapa. Mimi naamini CAG, PCCB, TRA na Bunge hawakuwa Vihiyo kusema fedha ni za umma kwamba Muhongo awajibishwe. Na basi mtuambie kwamba Mengi aliwahonga CAG, PCCB, TRA na Bunge ili waseme kwamba pesa ni za umma. Muhongo yupo kulinda maslahi ya wakubwa na msimsingizie Mengi, mmeharibu wenyewe. Muhongo must GO.
kwahiyo Maswi alivyosimamishwa kazi amebainika kukosea nini?au pale hajawajibishwa?na kama amekosea ina maana Muhongo hana kosa ila maswi ndo ana kosa?
Kaiba nini matako yakoo
Wezi wanajulikana mengi anafanya kazi kwenye wizara gani, Mengi ni mtumishi wa umma??
Pumbavuuuu next time uwe na akiri paka wewe
Ushahidi Upi tena? Umeambiwa Mengi ni Mwizi Tambua hilo tu, Sakata la escrow linazigusa wazara Nne. 1- Wizara ya viwanda na Biashara 2- Majaji na mwanasheria Mkuu 3- Wizara ya fedha na Gavana4- Wizara ya Nishati na Madini , iweje Mengi amkomalie Muhongo peke yake ? Kisa Vitalu vya Gesu tu au kuna lingine?Unajua ni watu wa CCM ndo wanasema Mengi ni Mbaya. mbona hamsemi CAG, PCCB, TRA na Bunge ni wabaya. Mengi amewachoma nini? Leteni ushahidi basi na sisi tujue ubaya wake. Ila sisi CAG, PCCB, TRA na Bunge wametuambia Muhongo no mtu mbaya na uhahidi upo. Leteni na wa kwenu.
Mengi huwa halipi Kodi,Mengi huwaibia wafanyakazi wake kwa kuwalipa mishahara Mibovu sana,Mengi alipokea Rushwa kubwa toka kwa Rostam ili akae kiimya asitoe Siri kuwa Rostam kafanya biashara kahama na mapesa pasipo kulipa kodi, Zile pati za kula Chakula na a Vilema na Albino kweke ni Dili kwani huzitumia kuomba misamaha ya kodi, Mengi hana cha bure akitoa msaada lazima apate kitu. Hayo ni Baadhi ya Madhambi ya Mengi kwani anayo kibao.
Kwani bunge na mkuu wa nchi aliyesema hazikuwa za ummah nani mkubwa zaidi..... Hiyo tipoti ya CAG,TRA,PCCB ambazo ni controversial zinajikanyagakanyaga haziwezi hata kuwapeleka watu mahakamani. Msilete uhuni kama mengi anapenda sana kuishauri wizara ya nishati na madini kwa nini asiwe waziri kivuli wa nishati na madini. Magazeti ya ipp siku hizi ndo yamejua kumkumbusha mkuu wa nchi kuhusu majukumu yake. Mbona hamkumbushi kuhusu ujenzi wa maabara, visima, ujenzi wa mitambo ya gesi pale kinyerezi .... Wajinga wataaendelea kuimba nyimbo za mengi sisi ngija tufanyr kazi
Kwa nini na Muhongo naye asisimamishe kupisha uchunguzi bali eti awekwe kiporo?Maswi hakuwajibishwa, amesimamishwa kupisha uchunguzi. Kumbuka hilo.
Acha ubege wewe Mengi ndiyo enginia wa yanayomkuta kiongozi bora 2014 Prof. Muhongo, Unahitaji ushahidi gani zaidi kwani kipindi wanalumbania vitalu hukusikia au unajisahaurisha bwana kasinge. Mengi ni Fisadi mkubwa Tanzania hii amefilisi NBC kwa kugoma kulipa madeni aliyokopa, na kama ni mtu makini uliposoma ripoti ya CAG hakuna mahali panamtaja Muhongo kuchukua pesa za Escrow, pia unanisikitisha kama bado umekariri kuwa pesa zile zilikua za umma. napata wasiwasi na ufuatiliaji wako wa mambo, rais alikiri kuwa pesa zile hazikua za umma upo mzee, acha porojo zisizo na mantiki, tunataka maendeleo hatutaki porojo na ushabiki wa kisiasa.
Ushahidi wa Muhongo uko wap? Kuna ushahidi wa kutosha kuhusu ufisadi wa Mengi fuatilia mambo usibugizwe maneno na wanasiasa mchwara
Wewe unaongea pasipo kua na uakika na unaongea story za vihiweni
Sheria zipo za kuwaadhibu watu wanaokwepa kodi mbona yeye atujawah kusikia kesi yake ata moja ya ukwepaji wa kodi na misaada anayatoa ata kama ana piga madilu yake ila unakuta amewasaidia watu kwa kiasi fulani
Na unavyosema kuhusu rostam kwani mengi ni afisa wa TRA alipewa pesa akae kimya
Na unaposema anawaibia wafanyakazi njoo na ushaidi anamuuibia vip mishaara si wanasign mikataba ya kazi au wao hawafanyi ivo
Na ngoja nikwambie kama mengi angekua mwizi kwa serekari hii anayo ikosoa kila siku wangeisha mfunga tayari kwasababu wao ndo wapo kwenyee mfumo
Kinachofanyika ni wao kumchafua tuu ili hari wao ndo wanamamraka yote
Hawana jipya kama anakwepa kodi wamchukulie hatua sasa wanatuambia sisi tufanyajee
Ni wazi kua Mengi anatumia vyema vyombo vyake vya IPP kufichua maovu yao ndo maana hawampendi wanataka afanye kama walivogeuza TBCCM
Nimemaliza endelea kupaka matopee tu achafuki ng'ooooo
Mengi baada ya kukopa Mabilioni NBC bank miaka ya 90 alikula njama nyaraka zote zikachomwa moto tena kipindi kile tekinologia haikuwa kubwa kama sasa, na hizo pesa zilitumika kuanzisha viwanda vya levola, komesha , maji ya Kilimanjaro na ITV, Mengi alipoteza ushahidi wote hadi NBC ikayumba na kuokolewa na Uwekezaji, wafanyakazi wakongwe wa NBC hawana hamu na Mengi.Huyu jamaa ndo namwona bonge la ----- eti Mengi kaifisili NBC kakopa kakataa kulipa ivi ukikopa pesa benk kulipa mbaka utake au??
Au kipindi anakopa akuweka collateral in case akishindwa kulipa zitumike kurecover au unazungumza usichokijua
Amekopa ameshindwa kulipa mari zake zinachukuliwa alizoweka dhamana zinalipa deni na sidhani kama NBC walimpa mkopo bila ya yeye kuweka dhamana
Na kwa akiri ya kawaida Maswi amesimamishwa kupisha uchunguzi bosi wake yupo oficn hii inakuingia akirin
Kama wana nia ya dhati weka wote pemben uchunguzi ufuate
Sio mnatuchezeshea chezo tu pyuuuu
mkuu hivi unajitambua kweli?au upo upo tu...!mwenzio kataja taasisi 4,wewe unataja taasisi 3.una maana gani?NAOMBA JIBU.Maana Bunge ndilo lililo unganisha taarifa kutoka taasisi 3. nakutoa hitimisho la watuhumiwa,halafu wewe unataka jina la Muhongo kwenye ripoti ya TRA,TAKUKURU na CAG unajua hadidu za rejea walizopewa CAG,TAKUKURU,TRA na PAC?nauliza,hivi uko vizuri kichwani mwako?