Hiyo simu unayotumia ni ya ofisi? Kama ni yako Kuna njia nyingi kuepuka hilo
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Hakuna njia maalum Mkuu ya kujua ila hizi app Mara nyingi huhitaji special permission.Habari wanajamii forum,
Naomba kuuliza hvi kama mtu anatumia Spy App na anakuchunguza utajuaje? Maana nahisi boss wetu anaspy App na Je, nitajitoaje ili asinispy?
Naombeni ushauri.
Ahsante wakuu