Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,572
- 112,261
Huku tunapiga jembe tu, hakuna kuremba kama huko kwa wakula chips na mabawa ya kuku wa kisasaKuna mishe gani huko?
Huku tunapiga jembe tu, hakuna kuremba kama huko kwa wakula chips na mabawa ya kuku wa kisasaKuna mishe gani huko?
Siwezi kupiga jembeHuku tunapiga jembe tu, hakuna kuremba kama huko kwa wakula chips na mabawa ya kuku wa kisasa
Mhenga kumbe tuko majirani kwa sasa nipo kijiji cha butambara hapa ushiromboNjoo huku Ushirombo, kijiji cha katome
Ohhh....Mhenga kumbe tuko majirani kwa sasa nipo kijiji cha butambara hapa ushirombo
Sasa kumbe wewe ni mtoto wa kiume, nilidhani najadili mambo ya msingi na mwanaume...Siwezi kupiga jembe
Siwezi kupiga jembe
Ntakuja tu mjomba usiwazeSasa kumbe wewe ni mtoto wa kiume, nilidhani najadili mambo ya msingi na mwanaume...
Itapendeza tukikutana maganzo ,tuchambe koo kwa pamojaOhhh....
Karibu Katente mkuu, ingawa nikitoka huku shamba nitapitia pale Maganzo kwa mama muuza... tehteehhh
Karibu sana mkuu, huku Maganzo hakuna mapongo. Kwahiyo ile nyeupe tunajipgia tu huku tumefungua roho.... tehteehhhItapendeza tukikutana maganzo ,tuchambe koo kwa pamoja
scorpio usutalogwa ww hadi ukome
Haaaa haaaa..Karibu sana mkuu, huku Maganzo hakuna mapongo. Kwahiyo ile nyeupe tunajipgia tu huku tumefungua roho.... tehteehhh
Mkuu, ukitaka totoz ingia hapo Makuti Bar, kwa Mzee Siro.Haaaa haaaa..
Pia usisahau totozi nakutegemea wewe mwenyeji wangu
Za oya oya hamna nahitaji grade oneMkuu, ukitaka totoz ingia hapo Makuti Bar, kwa Mzee Siro.
Kikubwa jitahidi ufunge roho, kiulainiii na vyumba vinapatikana hapohapo
Ushimen siku tukikutana live nitakupiga mateke hadi ujute kututania wa DaslamHuku tunapiga jembe tu, hakuna kuremba kama huko kwa wakula chips na mabawa ya kuku wa kisasa
Unalazimisha kwenda kwa mwanaume kufanya nini na ushasema kulima huwezi?Ntakuja tu mjomba usiwaze
KumsimamiaUnalazimisha kwenda kwa mwanaume kufanya nini na ushasema kulima huwezi?
Samahani mkuu, tulifundishwa kusamehe 7×70, alafu leo jumapili mkuu....[emoji30][emoji30][emoji30]Ushimen siku tukikutana live nitakupiga mateke hadi ujute kututania wa Daslam
Muache ajilazimshe kujamba hadi ajinyee.. tehteehhhUnalazimisha kwenda kwa mwanaume kufanya nini na ushasema kulima huwezi?