kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 16,252
- 16,171
Hata kama mwanasiasa afanye nini lakini kama hatabuni mbinu ya kuwafanya wananchi wamudu kula milo mitatu kwa siku bado kazi itakuwa kubwa sana kwake 2020.
Chakula lazima kitangulie mambo yoooote ya wananchi la sivyo usitegemee kitu. Nijuavyo mimi chakula, maji, matibabu na kodi ya nyumba haviwi nyuma ya kitu chochote, kama bado na kura bado pia