Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,207
- 41,982
kaa naye mbali, akikutafuta manake wewe ni muhimu kwake, acipokutafuta manake alishakuchoka alikuwa anatafuta sababu ya kukufukuza. uhai ni kila kitu mali zinatafutwa.
Hili nalo neno
kaa naye mbali, akikutafuta manake wewe ni muhimu kwake, acipokutafuta manake alishakuchoka alikuwa anatafuta sababu ya kukufukuza. uhai ni kila kitu mali zinatafutwa.
Mwenzenu nimeamua kuondoka kwangu,mume huyu wangu alinioa kihalali kanisani,leo nimenyoosha mikono najiandaa kuanza maisha peke yangu na wanangu,nimeshindwa,siko tayari kufa kwa ukimwi kwa kuwa sistahili,alinioa bikira na simjui mwanaume yeyote zaidi yake katika dunia hii.
Uzinzi,umalaya,matusi anayonipa,dharau,kejeli na kutokunijali vinanifanya niondoke kwangu,kuanzia leo nimedhamiria kuondoka rasmi,hata nikisikia umeoa chelenje sitakwenda kulalamika popote,kwa sababu najua utakuwa umemuoa mwanamke unayempenda,nimelia sana sasa nimeamua kufuta machozi na kusonga mbele,najua MUNGU HATANIACHA!:wave:
kwani cha ajabu kipiHa ha haa hapo kuna utata kidogo.
hivi kuna wasichana bado mnaolewa na bikira siku hizi. Masikini, ndio maana unanyanyasika! Hao watu hawana maana yoyote. Hata kama bikira unayo ingiza kidole mpaka itoke. Hiyo heshima hawastahili kabisa. Ndoa zenyewe zote ni Ndoano bikira ya nn?[/QU
people sin I also sin kwenye bold hapo