Emmanuel Mkwama
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 165
- 122
ha ha ha ha duE.Mkwama, tuko kwenye stone age utadukua nini huku? Mkulu MWENYEWE nasikia anatembeza vipigo kwa maza hausi, Wazungu hawakukosea kutulinganisha na nyani a.k.a Nyani Ngabu
Nikumbushe kuhusu uchaguzi wa tanzania wa 2015. Je,ulikuwa wa haki? kumbuka tulitumia system mpya,je tulikuwa salama?E.Mkwama, tuko kwenye stone age utadukua nini huku? Mkulu MWENYEWE nasikia anatembeza vipigo kwa maza hausi, Wazungu hawakukosea kutulinganisha na nyani a.k.a Nyani Ngabu
ripoti kwani zinasemaje mkuu... baada ya uchaguzi... waangalizi wa kimataifa na tafiti je? nazo zina jumbe gani? au ni wewe peke yako ndio una lalamikia uchaguzi na utaratibu uliotumika mkuu.... eb amka naona upo usingizini mkuuNikumbushe kuhusu uchaguzi wa tanzania wa 2015. Je,ulikuwa wa haki? kumbuka tulitumia system mpya,je tulikuwa salama?
OBAMA joka la kibisaObama Aagiza Uchunguzi Ufanyike Kuhusu Tuhuma za Udukuzi Uliofanywa Urusi Kumsaidia Trump
MUUNGWANA BLOG / 5 hours ago
Washington (CNN): Rais Barack Obama ameagiza uchunguzi ufanyike kuhusu tuhuma za udukuzi zilizofanywa na nchi ya Urusi katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika Novemba 8 mwaka huu ambapo bwana Donald Trump wa Chama cha Republican aliibuka mshindi kwa kumbwaga mpinzani wake, Bi. Hillary Clinton.
Kwanini wasimualike JECHA tuu akamalize kazi , hawana namba zake ???
Technology imekua sana. Hapa kwetu si wanaweza pata habari kirahisi ila wamazipata live bila chenga
Obama asitake kuadaa watu Marekani hakuna demokrasia na alikuwa akimtambua mshindi tangu awali kwahy asilete majungu ya ngozi nyeusi.
Obama asitake kuadaa watu Marekani hakuna demokrasia na alikuwa akimtambua mshindi tangu awali kwahy asilete majungu ya ngozi nyeusi.
Sisi Tanzania ndo wanatujua vzuri nje na ndani ndo maana hawajisumbui, unafikiri hata hii mikataba waifanyayo hujuaje? Ka si kupata information kwa undani.