Kama mambo ya udukuzi yamefanyika Marekani! je,kwa Tanzania ilishindikanika kweli?

sina uhakika wa usalama wetu kwa jinsi technology ilivyo kuwa ukilinganisha na spidi yetu.

Pengine kwa kutumia old technology tupo salama zaidi kuliko tunge kuwa na hizo advanced technology . Taarifa nyingi tunawakisanyia na kuwapelekea sisi wenyewe.
Lakini tuna weza kabisa kuwapoteza tukiwa strategic tatizo tamaa na umasikini wa mtu binfsi. . . .
 
Watadukua nini? Sisi bado hata hatu tumii computer kiasi cha kusema mtu ata dukua..

Bongo bado makaratasi mengi. Labda wadukue wino

Uone watu wetu waishivyo kwa hisia pasipo uhalisia. . .


Sisi hata hayo makaratasi yenye taarifa hayako synchronized mpaka upate kipande cha habari muhimu timilifu umeshajichokea. . . Ila unadhani kwanini wasomi wanaojitambua wapo busy sana?
 
muda wake umeisha aende zake atuachie hili dume la nyani likaitumbue africa, liwaondoe watawala uchwara
Hataishia kuwaondoa hao viongozi uchwara kama unavyowaita.
Akishawaondoa anakomba kila kitu.
Uranium, diamonds, oil, gas etc
Pambana na ubeberu na ukaburu wa kila hali...
Usimkaribishe beberu kukuondorea beberu wako....umwkwisha.....kwani kinachowashinda waafrika kuwatoa hao mabeberu wao ni nini kama sio uoga na tamaa za pesa na madaraka?
 
Back
Top Bottom