Kama mambo ya udukuzi yamefanyika Marekani! je,kwa Tanzania ilishindikanika kweli?

Emmanuel Mkwama

Senior Member
Apr 24, 2013
155
112
Obama Aagiza Uchunguzi Ufanyike Kuhusu Tuhuma za Udukuzi Uliofanywa Urusi Kumsaidia Trump
MUUNGWANA BLOG / 5 hours ago

Washington (CNN): Rais Barack Obama ameagiza uchunguzi ufanyike kuhusu tuhuma za udukuzi zilizofanywa na nchi ya Urusi katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika Novemba 8 mwaka huu ambapo bwana Donald Trump wa Chama cha Republican aliibuka mshindi kwa kumbwaga mpinzani wake, Bi. Hillary Clinton.
 
Sisi Tanzania ndo wanatujua vzuri nje na ndani ndo maana hawajisumbui, unafikiri hata hii mikataba waifanyayo hujuaje? Ka si kupata information kwa undani.
 
Kiongozi wa serikali ya Ujerumani Mama Angela Merkel alikiwa akidukuliwa na Marekani kupitia simu yake. Kwa sasa hii ndio Silaha kubwa sana ulimwenguni. Ni hatari sana
 
Nikumbushe kuhusu uchaguzi wa tanzania wa 2015. Je,ulikuwa wa haki? kumbuka tulitumia system mpya,je tulikuwa salama?
ripoti kwani zinasemaje mkuu... baada ya uchaguzi... waangalizi wa kimataifa na tafiti je? nazo zina jumbe gani? au ni wewe peke yako ndio una lalamikia uchaguzi na utaratibu uliotumika mkuu.... eb amka naona upo usingizini mkuu
 
Obama Aagiza Uchunguzi Ufanyike Kuhusu Tuhuma za Udukuzi Uliofanywa Urusi Kumsaidia Trump
MUUNGWANA BLOG / 5 hours ago

Washington (CNN): Rais Barack Obama ameagiza uchunguzi ufanyike kuhusu tuhuma za udukuzi zilizofanywa na nchi ya Urusi katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika Novemba 8 mwaka huu ambapo bwana Donald Trump wa Chama cha Republican aliibuka mshindi kwa kumbwaga mpinzani wake, Bi. Hillary Clinton.
OBAMA joka la kibisa
 
Obama asitake kuadaa watu Marekani hakuna demokrasia na alikuwa akimtambua mshindi tangu awali kwahy asilete majungu ya ngozi nyeusi.
Obama asitake kuadaa watu Marekani hakuna demokrasia na alikuwa akimtambua mshindi tangu awali kwahy asilete majungu ya ngozi nyeusi.

Samahani mkuu:kwa mfano ikitokea kile anachosema Obama! je,uchaguzi utarudiwa ama ndiyo basi tena?
 
Sisi Tanzania ndo wanatujua vzuri nje na ndani ndo maana hawajisumbui, unafikiri hata hii mikataba waifanyayo hujuaje? Ka si kupata information kwa undani.

Sisi amini na kuambi tuna uwezo wa kuwa salama kama tuta kuwa wazalendo kuliko mataifa yaliyoendelea tatizo letu kubwa ni kutokuwa makini kwa baadhi ya watendaji na wakati mwingine kutokuwa na uwezo wa kung'amua mambo kwa haraka na kulinda taarifa zetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom