Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Nimesema mara kwa mara humu kuwa baadhi ya viongozi tulionao wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajiumbue na hatimae waanguke wao na chama chao.
Kutokana na wao kukosa maarifa,matokeo yake wanafanya mambo ambayo mwisho wa siku yanawagharimu wao kama wao na wakati huo huo yanawabeba kisiasa wapinzani wao.
Leo Makonda amethibitisha kukosa maarifa na kujimaliza mwenyewe pasipo kujua huku akimpaisha aliedhani anammaliza kisiasa.
Kwanini?
Below is a very simple exaplanation:
Mwaka 2005, aliewahi kuwa Raisi wa Afrika kusini,Nelson Mandela aliutangazia ulimwengu kuwa mwanae alifariki na ugonjwa wa UKIMWI na kuwataka watu kuchukua tahadhari.
kwahiyo (tukifanya assumption kuwa ni kweli Mbowe amesitisha maandamano baada ya mwanae kupimwa na kuonekana kaaugua korona) Mbowe kafanya alichofanya Mandela baada ya kuona mwanae kapata huo ugonjwa hivyo kasitisha ili kuokoa watanzania wengine kama alivyofanya Mandela kwa waafrika kusini tofauti ni kwamba Mbowe hakutangaza hadharani ugonjwa wa mwanae jambo linalohitaji ridhaa ya mwanae huyo.
Mandela: Mwanaharakati wa Ukimwi
Kwahiyo ndugu zangu,watakaomuamini Makonda na kisha wakatafakari, watagundua Mbowe alikuwa na nia njema na wakikumbuka alichofanya Mandela mwaka 2005, watamuona ana busara sawasawa na ya Mzee Mandela.
Nasisitiza,hawa watu wamenyimwa maarifa ili kwa kauli na matendo yao, wajimalize wao wenyewe huku wakidhani wanawamaliza wabaya wao kumbe ni kinyume chake.
Hata yule aliesema tunatumia dola kubaki madarakani na yule alietinga mageraza na msafara wa magari bila kujua ingemgarimu, wote hawa wamekosa/wamenyimwa maarifa ili wajiumbue kwa kauli na matendo yao mbele ya umma na hatimae wadharaulike kabla ya kuanguka.