Kama Lema anadaiwa milioni 600 kupitia udhamini wa Bunge sipate picha ya ukubwa wa madeni ya wabunge wa CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,940
141,915
Kama Lema tu ambaye ni mbunge kutoka kambi ya upinzani anadaiwa zaidi ya nusu bilioni kupitia udhamini wa bunge...... Yawezekana madeni ya wabunge wa CCM yasitamkike.

Binafsi namshukuru Spika Ndugai kwa kutufumbua macho kwamba wengine huenda bungeni kufuata fursa ya mikopo na si vinginevyo.
Kuna wakati Spika alisema wabunge wengi wana mikopo kiasi kwamba kiasi wanachobaki nacho baada ya makato kinasikitisha.

Kama vipi Spika wetu mpendwa tupia ile orodha ya wadaiwa sugu bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
 
Mimi namuunga mkono Mh Kipaza kwa alichofanya, Lema katumika tu kama ubao.

Sasa tunafahamu ni kwa nini Ubunge ni dili, na kwa nini Maprofessor, Madaktari, Wafanya biashara wote wanakimbilia huko.
 
Mimi namuunga mkono Mh Kipaza kwa alichofanya, Lemsa katumika tu kama ubao.

Sasa tunafahamu ni kwa nini Ubunge ni dili, na kwa nini Maprofessor, Madaktari, Wafanya biashara wote wanakimbilia huko.
Hakika mkuu Spika katuma ujumbe mzito kwa wananchi!
 
Kiasi kinachobaki kinasikitisha kivp ikiwa lazima usiwe chini ya 1/3 ya Mshahara wako. 1/3 ya mshahara wa mbunge ni zaidi ya mshahara wa Mkuu wa Idara ambaye hajakopa
 
hahahahahahahha naomba mweshimiwa spika atoe orodha yote ya wabunge wanao daiwa . kiasi alicho kopa na amelipa ngapi na bado ana daiwa ngapi jtatu aitoe
 
Kama Lema tu ambaye ni mbunge kutoka kambi ya upinzani anadaiwa zaidi ya nusu bilioni kupitia udhamini wa bunge...... Yawezekana madeni ya wabunge wa CCM yasitamkike.

Binafsi namshukuru Spika Ndugai kwa kutufumbua macho kwamba wengine huenda bungeni kufuata fursa ya mikopo na si vinginevyo.
Kuna wakati Spika alisema wabunge wengi wana mikopo kiasi kwamba kiasi wanachobaki nacho baada ya makato kinasikitisha.

Kama vipi Spika wetu mpendwa tupia ile orodha ya wadaiwa sugu bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Wapo wa CCM hawadaiwi hata shilingi mkuu. Hiyo ni mipango ya mtu na mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom