Kama kweli wewe ni Mganga/Mchawi fanya yafuatayo

Uchawi ni mbaya uchawi unaumiza uchawi haufai,UGHAIBUNI WANAUITA "THE HIDDEN SCIENCE OF NUMBERS ALPHABETS PLANTS"
show/prove it to me then...I wanna know it evidently like you do.....unless unaandika ulichokisikia au kuambiwa na hujui uhalisia kama mimi
 
Bro how do you even know for sure that there is witchcraft????
In facts and truth is Unaposema with one heart ya kuwa hakuna uchawi hakika hautakupata kamwe,shida ni pale utakapo hesitate yaani mfano mtu anapoumwa unapoamua kumuombea kwa moyo wako wote with no doubt ukaadopt jina lenye nguvu katika imani yako mgonjwa atapona vizuri sana,tabu ni pale unapoweka walakini ndani ya moyo wako kati ya daktari/maombi yako/na imani za giza ,
N.B,Unapoamini imani dini simamia hapo hapo,kitendo cha Ku doubt tu,shetani ana take a chance immediately, na ndio sababu za wanawake wengi kukumbwa na mapepo,shetani hupenda sana upenyo unaouacha katikati a Gap.
 
Mganga haswa hashughuliki na vitu vya kitoto kama hivvyo.
Kama ni hivyo utamjuaje mganga wa kweli?? kwa kuambiwa? hivo vitu unavyoviita vya kitoto ndo wangevitumia kama promo ili iwe rahisi kwa watu kupata huduma kutoka kwao.
 
Nataka nijue kama kweli haya mambo yapo maana tokea nizaliwe naskia lakini sjawahi kushuhudia kwa macho yangu wala kupitia kwa mtu wangu wa karibu yoyote yule. Sasa naomba kama kweli wewe ni mganga/mchawi fanya yafuatayo:

1) Niambie jina langu lote la kweli tofauti na hili la kubuni nnalotumia hapa jukwaani.
2) Niambie nimezaliwa wapi na hospitali gani?
3) Niambie kwa sasa ninaishi wapi na ninafanya nini?
4) Niambie kwenye familia/ukoo wangu nani wapo hai na nani wamefariki?

Na cha 5 na mwisho kabisaa kitakachonifanya niamini jumla kuwa haya mambo ya uchawi yapo embu nitokee eneo nilipo na unambie, "umeamini sasa?"
Ili apate faida gani sasa?
 
Ukisoma kitabu cha bwana Musa na kisima Cha Giningi,ambacho mhusika mkuu katika kitabu hiki Ni huyo Musa,Kuna siku kwa bahati alipita katika nyumba ya mganga mmoja maarufu. Baada ya bwsna Musa kupita pale yule mganga alimwambia kupiga ramli ni thumuni na matibabu yake Ni thumuni,Bwana Musa alitoa shilingi na kukwambia ana mtaka yule Fundi amweleze huku akimuonyesha inzi mmoja na kukwambia je akiruka pale alipo ataenda kutua wapi,happy thumuni it's kuwa imeisha,baada ya happy anataka amfanye huyo inzi aje atue kwenye paji lake. Mganga akawa hoi
 
Nataka nijue kama kweli haya mambo yapo maana tokea nizaliwe naskia lakini sjawahi kushuhudia kwa macho yangu wala kupitia kwa mtu wangu wa karibu yoyote yule. Sasa naomba kama kweli wewe ni mganga/mchawi fanya yafuatayo:

1) Niambie jina langu lote la kweli tofauti na hili la kubuni nnalotumia hapa jukwaani.
2) Niambie nimezaliwa wapi na hospitali gani?
3) Niambie kwa sasa ninaishi wapi na ninafanya nini?
4) Niambie kwenye familia/ukoo wangu nani wapo hai na nani wamefariki?

Na cha 5 na mwisho kabisaa kitakachonifanya niamini jumla kuwa haya mambo ya uchawi yapo embu nitokee eneo nilipo na unambie, "umeamini sasa?"
Ur still a learner . Nakukanya usijaribu kufanya utoto huu in real life, utakufa bila kuugua.

Hao waganga na wachawi unao wasema, they don't want to prove anything to you..
 
Kama ni hivyo utamjuaje mganga wa kweli?? kwa kuambiwa? hivo vitu unavyoviita vya kitoto ndo wangevitumia kama promo ili iwe rahisi kwa watu kupata huduma kutoka kwao.
Wa ukweli hawajui na hawahitaji hiyo promo achilia mbali kuijua.
Mdau litamkuta la kumkuta na akishapewa sababu ya kumzungumzia wa Bara watazipata taarifa mhusiwa hata akiwa Pwani.
 
Uchawi ni Imani tu za kijinga,kama ipo basi atokee mganga abashili michezo ya betting tupige pesa
We jamaa kama upo serious nenda sehemu inaitwa Mailimbili uheheni katoe hilo tangazo lako Kisha njoo baada ya li SAA li 1 utupe mrejesho.
 
We jamaa kama upo serious nenda sehemu inaitwa Mailimbili uheheni katoe hilo tangazo lako Kisha njoo baada ya li SAA li 1 utupe mrejesho.
Hiki unachokisema ulishawai kukiona kwa macho yako?? au na wewe unaandika ulichoambiwa/kuskia?? unajua nlichokuja kugundua watu wengi hawana ushahidi kabisa wa haya mambo...nyingi tu ni stori wanazoambiwa au kuona kwenye movie
 
Wa ukweli hawajui na hawahitaji hiyo promo achilia mbali kuijua.
Mdau litamkuta la kumkuta na akishapewa sababu ya kumzungumzia wa Bara watazipata taarifa mhusiwa hata akiwa Pwani.
wa ukweli wapi mkuu?? wa ukweli wapi huh....mbona kila unachokiandika kinaonekana cha kufikirika...wewe unamjua wa ukweli yupi maana upande wa dini utaskia kuna mchungaji/nabii/pastor/sheikh fulani ana uwezo fulanii......kwanini inapokuja upande wa pili inakuwa kwamba wapo wapo wapo wewe kama wewe unawajua?? umeshawai kuwaona? umeshawai kuwatumia? mimi nataka proof na sio stori tu mkuu...maana na mimi hizo stori kama zako nazijua sana tuu.... ila wenzetu wanasema "no research no right to say" pia kumbuka "seeing is believing"
 
Mungu wa ajabu sana.
Anayo namna ya kumaliza Kiu zetu waja.
Usihofu ipo siku utathibitisha kwa macho yako.

Kuhusu utafiti na haki ya kuyazungumza unayosema hayana ushahidi wa Kisayansi?
maneno yasiwe mengi;
Ila ninachojua mimi si kila kanuni ya kisayansi inafanya kazi katika tasnia zote.
La ukiona kama nakuchanganya, tukubaliane kutokubaliana nalo huwa tunalifanya waungwana.

Sikukuu njema, kumbuka kitaifa inaadhimishwa Boma ng'ombe-Hai, Kilimanjaro.
 
Jina: Hamidu Ngonyani
Hospitali: Hospital Kubwa Moro
Marehem: Babu & Bibi
Upo: Keko (Fundi Masofa)
Mwisho: Sikutokei hapo ila nakutumia skadi lazma ujikate kidole kabla jua halijazama
 
Hiki unachokisema ulishawai kukiona kwa macho yako?? au na wewe unaandika ulichoambiwa/kuskia?? unajua nlichokuja kugundua watu wengi hawana ushahidi kabisa wa haya mambo...nyingi tu ni stori wanazoambiwa au kuona kwenye movie
Mkuu wengine yaliisha tukuta yakutisha! Na UCHAWI haionekani kwa macho ,kinacho onekana ni MATOKEO ya hiyooo kitu.We nenda hayo maeneo katangaze HITAJI lako Hilo halafu njoo utupe mrejeshowa yaliyokukuta! Ingekuwa zamani ningekwambia nenda bahiroad,majengo ,chaduru,makole.
 
Back
Top Bottom