Kama kweli wewe ni Mganga/Mchawi fanya yafuatayo

Root root AE

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
207
345
Nataka nijue kama kweli haya mambo yapo maana tokea nizaliwe naskia lakini sjawahi kushuhudia kwa macho yangu wala kupitia kwa mtu wangu wa karibu yoyote yule. Sasa naomba kama kweli wewe ni mganga/mchawi fanya yafuatayo:

1) Niambie jina langu lote la kweli tofauti na hili la kubuni nnalotumia hapa jukwaani.
2) Niambie nimezaliwa wapi na hospitali gani?
3) Niambie kwa sasa ninaishi wapi na ninafanya nini?
4) Niambie kwenye familia/ukoo wangu nani wapo hai na nani wamefariki?

Na cha 5 na mwisho kabisaa kitakachonifanya niamini jumla kuwa haya mambo ya uchawi yapo embu nitokee eneo nilipo na unambie, "umeamini sasa?"
 
Ngoja nikuitie Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoye
 
Wewe subiri Mshana Jr akutokee na kaniki kiunoni akuulize 'umeamini sasa' uone utakavyojiharia.
 
Kama amededishwa atauletaje
Hii haiwezi tokea maana Mungu pekee ndo mwenye uwezo wa kuua...labda wanichukue msukule2...lakini sicho nilichokiomba mimi nataka proof kwamba izo mambo zipo kweli au la...
 
Ninachofahamu magagula wakitaka kukuumiza wanakuumiza kwa jina lako hilo hapo hapo feki #Root root AE
Mbona mnakazania kwenye kuumizana...mimii nimeomba proof ya vitu nilivoviandika hapo juu..huenda nikajiunga pia kama wakifanikiwa kunithibitishia au hata nikawa balozi mzuri wa kuwaelekeza watu wenye mahitaji yanayohusiana na izo mambo ivo tu
 
Back
Top Bottom