Kama kweli vile. Hahahaaaa

Kama kweli vile. Hahahaaaa

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,739
Reaction score
5,703
0fbe208b4ac053cd9c6f1f8e5ee8f554.jpg
 
Nyerere alinogewa sana Mpaka akaamua Mji mkuu wa Nchi apeleke eneo la Jangwa na ukame wa kudumu lisilokuwa attractive kwa maisha ya kawaida
 
Ha ha haaah!, napenda sana matukio ya Rais. Hata bakora zitashikwa huu msimu, heshima ya uraisi nadhani imerudi, nidhamu na utii nadhani vimerudi, jamaa akikatiza mahali naona watu wakipoteza mwelekeo wengine wakifurahia ujio wake!! Loh, hiyo katuni ina raha yake..a.........Alamba alamba haisikiki ovyo mjini!!!! ha ha haaaaaah!
 
Ha ha ha ha, we hujaiona ya masoud kipanya ndio ungecheka zaidi!
 
Back
Top Bottom