johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,112
Lilikuwepo ila lilikuwa dhaifuNauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa wapi?
KUB alikuwa wapi?
Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?
Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Magufuli bunge lote aliliweka mfukoniNauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa wapi?
KUB alikuwa wapi?
Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?
Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Wai Chato katambikwe dadaKangi Lugola alitumbuliwa na Magufuli kwa kosa la kuingilia kazi ya waziri wa fedha Dk Mpango kwenda kukopa nje.
Kwenye serikali ya awamu ya tano aliyekuwa anaruhusiwa kukopa kwa niaba ya nchi ni waziri wa fedha tu.
Kwa hiyo huo uongo wa kina Nape hauna mashiko na uzuri Dk Mpango bado yupo
Ndio wanyamaze sasa baada ya kutoka huko mfukoni!Magufuli bunge lote aliliweka mfukoni
Ndio wanyamaze sasa baada ya kutoka huko mfukoni!
Bunge la kijani, alinunua wabunge 90% wa upinzani ili wamuunge mkono.Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa wapi?
KUB alikuwa wapi?
Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?
Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Sihoji bali nalishangaa!Hivi kweli unahoji habari za bunge letu kwamba hulijui lilivyo eti???
Waondoe CHADEMA kwenye huo upuruzi wenu. Mliwmbiwa bungeni na hata hapa mliambiwa mkaja na majibu mepesi kwamba Tanzania ni Dona Kantiri.Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa wapi?
KUB alikuwa wapi?
Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?
Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!
Umefanya vizuri kulibadiri hata jina. Pale ni kundi la wapigaji wanaokutana kujadili na kupitisha madudu ya serikali wakilipwa mamilioni ya posho.Bonge Hakuna Kitu
Hilo nalo neno.Kwani leo bunge liko wapi? Madarasa kwa kutumia kodi ya miamala na madarasa kwa kutumia fedha za covid. Time will tell
Unajaribu kubalance kwa kumweka KUB NA MWENYEKITI wa PAC kwenye uozo wa awamu ya tano? Usitudanganye kwamba ulisafiri wakati huo wote wa nchi yetu kuwa dona kantree mpaka kuingia uchumi wa kati?! Kama Wewe ni marehemu , ulikufa March 17, na si nyuma ya hapo, Kwa hiyo vuta kamasi, kisha ulimeze, consiparacy ya kukommiti tororisti mkubwa Wewe!Nauliza tu iwapo hizi tuhuma kwamba hayati Magufuli alokopa fedha nyingi na zikatumika nje ya utaratibu ni kweli, bunge letu lilikuwa wapi wakati huo.
Spika alikuwa wapi?
Naibu Spika alikuwa wapi?
KUB alikuwa wapi?
Mwenyekiti wa PAC kutoka Chadema alikuwa wapi?
Jamani tusilete siasa za kuchamba kwingi tutanuka!