Kama kweli Sabaya ana hii hatia leo aburutwe Mahakamani

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.

Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa tuhuma ya kufanya biashara ya fedha za kigeni bila kibari. Diwani Msangi alipigiwa simu na ndugu Ally Saady ili akatoea msaada.

Inasadikiwa vijana waliowekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake walipigwa kipigo kikali na baadhi yao kujisadia haja kubwa na ndogo na kujeruhiwa vibaya. Diwani Msangi alipofika kutoa msaada nae alipata kichapo.

My take; kama hizi tuhuma ni kweli leo hii Sabaya akamatwe na jumatatu afikishwe mahakamani. Asipofikishwa mahakamani basi tunajua ni unafiki wa kisiasa unaendelea.
 
Mkuu huwezi kumkamata suspect(s)bila ya kumfungulia mashitaka na polisi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha tuhuma na mwishowe DPP to apply mind kuona kama kuna winnable case,sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika,kama una uchungu na hizi tuhuma mshauri huyu Diwani akafungue kesi polisi.
 
Kosa la jinai alafu Diwani afungue kesi? Anyway naanza kupata picha huenda Sabaya anasingiziwa.
 
wahanga wa Sabaya
kuna mwingine walimgonga misumari minne mguuni wakimlazimisha kutaja mipango ya Mbowe
IMG_20210511_225902.jpg
 
Sabaya hasingiziwi chochote ni mtu muovu, kwa nini asisemwe DC wa Iringa au kule chadema haikuepo? Huyu dogo alivuka mipaka
Inawezekana sababu alimdhibiti Mbowe Chadema wameunda zengwe.
 
Mkuu huwezi kumkamata suspect(s)bila ya kumfungulia mashitaka na polisi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha tuhuma na mwishowe DPP to apply mind kuona kama kuna winnable case,sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika,kama una uchungu na hizi tuhuma mshauri huyu Diwani akafungue kesi polisi.
"sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika"

Mkuu mbona watu tumekaa sana mahabusu kwa kunyimwa dhamana na upepelezi haujakamilika ?? Mkuu hizi sheria labda huwa wanafanyiana favour kutegemeana na mtu.

Mpaka sasa kuna watu wanateseka mahabusu na uchunguzi bado haujakamilika. Na baada ya uchunguzi akikutwa hana hatia hana lolote la kudai na muda wake aliopotezewa.

Hii nchi ukitaka kuishi vema nimegundua tafuta pesa na power. Masuala ya sheria ni upuuzi. Hatuna wafanyakazi wazalendo wengi wapo kimaslahi. Nimeyaona mengi polisi, rushwa ipo na kamwe hakuna kiongozi wa kuja kukomesha rushwa hii nchi.
 
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.

Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa tuhuma ya kufanya biashara ya fedha za kigeni bila kibari. Diwani Msangi alipigiwa simu na ndugu Ally Saady ili akatoea msaada.

Inasadikiwa vijana waliowekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake walipigwa kipigo kikali na baadhi yao kujisadia haja kubwa na ndogo na kujeruhiwa vibaya. Diwani Msangi alipofika kutoa msaada nae alipata kichapo.

My take; kama hizi tuhuma ni kweli leo hii Sabaya akamatwe na jumatatu afikishwe mahakamani. Asipofikishwa mahakamani basi tunajua ni unafiki wa kisiasa unaendelea.
Nini maana apishe uchunguzi?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Wako wengi tembelea sengerema uone mwingine
 
Mkuu huwezi kumkamata suspect(s)bila ya kumfungulia mashitaka na polisi kufanya uchunguzi ili kuthibitisha tuhuma na mwishowe DPP to apply mind kuona kama kuna winnable case,sio vema kukamata watuhumiwa na kuwaweka mahabusu wakati upelelezi bado haujafanyika,kama una uchungu na hizi tuhuma mshauri huyu Diwani akafungue kesi polisi.
Huu ukweli mbona wahusika walikuwa hawaujali? Mkuu wa Mkoa alimkemea hadharani kuwa asiwasweke watu ndani bila kufuata utaratibu lakini alimpuuza. Akae ndani kama ilivyo ada kwa wengine wakati uchunguzi unaendelea.

Tena kwenye hili lenye mashahidi kibao wala hafurukuti. Na hao vijana aliokuwa anawatumia hawatakawia kumuachia mzigo.
Alionywa sana lakini hakutaka kusikia. Sasa ni wakati wa kuvuna alichopanda.

Amandla...
 
Kama kweli alimteka na kumtesa kwa kipigo kikali Diwani wa Kata ya Sombetini, Bakari Msangi huko jijini Arusha basi alifanya kosa kubwa sana.

Kwa mujibu wa tovuti ya Sauti Kubwa ni kuwa Bakari Msangi alienda kutoa msaada kwa vijana waliokuwa wamewekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake kwa tuhuma ya kufanya biashara ya fedha za kigeni bila kibari. Diwani Msangi alipigiwa simu na ndugu Ally Saady ili akatoea msaada.

Inasadikiwa vijana waliowekwa chini ya ulinzi na Sabaya na timu yake walipigwa kipigo kikali na baadhi yao kujisadia haja kubwa na ndogo na kujeruhiwa vibaya. Diwani Msangi alipofika kutoa msaada nae alipata kichapo.

My take; kama hizi tuhuma ni kweli leo hii Sabaya akamatwe na jumatatu afikishwe mahakamani. Asipofikishwa mahakamani basi tunajua ni unafiki wa kisiasa unaendelea.
Taratibu wewe, wacha mihemuko, umeambiwa tuhuma dhidi yake zinachunguzwa, yako mengi usiyoyajua, utabaki kinywa wazi! Sabaya hafai!
 
Kosa la jinai alafu Diwani afungue kesi? Anyway naanza kupata picha huenda Sabaya anasingiziwa.
Hii inathibitisha kiwango cha juu cha UNAFIKI ulioko CCM, wewe umeleta mada yenye swali, kabla hujapata jibu unaanza kuonesha rangi yako halisi kutetea unyama wa Sabaya eti anaandamwa kwa vile alimdhibiti Mbowe. Yaani Dc aliteuliwa kumdhibiti mtu mmoja tu, huyo mtu ndo alikuwa tatizo la Hai? Yaani Hai wana kila kitu isipokuwa Mbowe? Haya baada ya Mbowe kunyang'anywa ubunge Hai imekuwa Dar?
 
Sasa kama alimdhibiti kwa manufaa ya umma ili asiwalaghai wananchi.
 
Back
Top Bottom