Kama kuna waliopata NACTE first selection

Kama kuna waliopata NACTE first selection

thomaskitomari

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
472
Reaction score
204
Habari vipi wakuu?? naona ukiingia kwenye website ya nacte kwenye results wameandika we are finalizing second selection, je kuna ambao wameshapata hyo first selection ya nacte???
 
MI nimeshangaa naingia kwenye profile nakuta admission status, kwa chin pale result wait for the next selection afu chin yake view chosen program , go to profile afu log out ndio nn hii, first selection wamefanya Lin na washatoa afu network yasumbua balaa
 
Cjui wanamanisha tumetupwa second selection Ina maana first selection wamechagua ila hawajarelese majina
 
nikiview program selected capacity ni 0 isipokua vyuo viwili tu sasa Ina maana wameshachagua lazima
 
first ilishatoka mda..second ndio wanachakata sasa
 
Acha uongo ni Nan kachaguliwa first hakuna kitu kama hicho Ata mwanzon waliweka wait for the next selection badae wakaweka wait for the selection acha kuogopesha watu kama huna uhakika bora ukae kimya c lazima kuchangia
 
First ilishatoka muda sana na tusha sahau na second ishatoka muda sana kwa sasa watu wana anza kusoma next week kwa baadhi ya vyuo ila kwa ngazi ya certificate na diploma ila kwa second watu wa afya kilimo na ualimu ndo wanasubiria ila kwa vyuo vya serikali .Now ni toleo la tatu ndo wana finalize
 
Tunazungumzia wanaoomba degree sio diploma n certificate
 
Tunazungumzia degree hapa wale wa diploma kwenda degree na cert wala diploma
 
First ilishatoka muda sana na tusha sahau na second ishatoka muda sana kwa sasa watu wana anza kusoma next week kwa baadhi ya vyuo ila kwa ngazi ya certificate na diploma ila kwa second watu wa afya kilimo na ualimu ndo wanasubiria ila kwa vyuo vya serikali .Now ni toleo la tatu ndo wana finalize
Huyu bado mdogo anazungumzia habar za selection za certificate na diploma wakati sisi tunastress za degree
 
Back
Top Bottom